Barbara Gonzalez Kesi yako Binafsi uliyofunguliwa inahusiana vipi na Taasisi ya Simba SC? Acha kutafuta Huruma ya Simba SC

We mama endelea kuhangaika na mambo ya wanawake ambayo ni personal(et wanabaiolojiana) kuna siku na wewe tutakuja tukuombe uchumba labda ndo utatulia..
 
Asante sana kwa Kunielewa Mkuu na huenda Wewe ndiyo mwana Simba SC pekee mwenye Akili na usiye Mnafiki uliyeuchangia Uzi huu vyema tofauti na wana Simba SC Madunduna wengi waliojifanya Kunishambulia na Wote nimewapa na nitawapa Dozi zao stahili na stahiki kabisa.
 
Huyo mdau, hana nia njema na Simba. Na kwenye uzi huu, wanaoushabikia huu UPUUZI, wengi wao ni wana UTOPOLO!
Na tatizo huyu mtu, kujifanya anajua kila kitu. Kuanzia kupanga kikosi, kuroga, yaani kila mbinu, ANAJIFANYA anajua!
Kimsingi GENTAMYCINE ana hoja za msingi kwahyo ni vema tukajikita kwenye hoja zake pasipo kuangalia nadharia yoyote ile.
 
We mama endelea kuhangaika na mambo ya wanawake ambayo ni personal(et wanabaiolojiana) kuna siku na wewe tutakuja tukuombe uchumba labda ndo utatulia..
Another Cretin Creature.
 
Kimsingi GENTAMYCINE ana hoja za msingi kwahyo ni vema tukajikita kwenye hoja zake pasipo kuangalia nadharia yoyote ile.
Tena uwaambie vizuri Mkuu wakitaka Hoja basi wajikite katika Hoja ila wakitaka Vita ya Maneno na Maandishi nami kamwe hawataniweza kwani nina Taaluma ya Kujibizana na Wapuuzi 1000 kama Wao kwa wakati Mmoja na hakuna wa Kuniweza.
 
POA. Ila siku zote ukweli unaumaaaa. Pia ukweli HUWA haupendwi.
Usijali Mkuu nilishajiandaa Kupambana nao hao wana Simba SC Wapuuzi na Wanafiki kutokana na huu Ukweli wangu na nawajibu kadri wanavyokuja Kwangu na wasisahau kuwa wengine Vita ni sehemu ya Maisha yetu na tunaviweza vile vile halafu hatujawahi Kuvishindwa / Kushindwa.
 
We nawe hovyo kabisa. Unashindwa kuwalaumu hao wanaoionea taasisi (simba).

Kama wanaougomvi na Barbra Simba inaadhibiwa vipi. Kama makosa yapo apewe adhabu.

Lakini kama anaipambania Simba katika mambo ambayo yanatibua michongo yao TFF kujinufaisha inabidi umpe pongezi.

Simba haiwezi kutumika kama mgongo kujaza matumbo yao.

Hao TFF wasimamie mpira kwa haki kwa vilabu vyote. Sio kuamua kuikomoa timu flani kiufundi kwa maslahi yao.

Watambue,timu ni ya sisi mashabiki. Wakiendelea kuzingua ghadhabu zetu watakutana nazo.

Aione PM na Spika wetu mpya.

Hao viongozi wa TFF unaowaona kama wapo sahihi. Kwa taarifa yako wameshajaa kwenye mtego. Bado kufyatuliwa tu.
 
Hopefully you know that you're a Fool!!!
 
Nipo pamoja na CEO wa simba.
Hayo matatizo ameyapata akiwa anaitumikia simba
 
Wewe sio mshabiki wa Simba na wala huna mapenzi na Simba hata kidogo. Nakufananisha na Manara ambaye baada ya kuleta ujuaji akabanwa akahamisha ugomvi binafsi na kuanza kuhujumu timu nzima
Kwahiyo Simba haishindi bila nyinyi kuroga au kuwapa madawa wapinzani???...hata kama ni kweli mwanasimba mwenye mapenzi na timu hawezi kutoa Siri za kuchafua timu na mbinu zinazotumika kwa wapinzani.
Inakera sana timu kuwa na washabiki fake kama nyinyi ambao mnasubiri timu iyumbe ndo mje na upuuzi kama huu. Simba haiwezi kuchukua ubingwa kila mwaka, inapopitia nyakati kama hizi, mashabiki wa kweli huwa tunasimama na timu na sio kuibomoa na kuanza kutafuta mchawi
Kama CEO kweli anatoka na MO hayo mambo Yao binafsi, mbona timu ilikuwa ilikuwa vizuri tu pamoja na hayo mambo Yao???
Niseme tu huwa nakubaliana na baadhi ya hoja zako ila hapa umechemka vibaya sana
 

Hili nalo linafikirisha aisee.
 
Acha vitisho wewe Kolo,eti aione PM na Spika mpya. Unadhani hizi ni zile zama za yule mungu wenu mfu wa Chato na yule tako juu Bashite? Mwaka huu mtatafutana kwa torch.
 
kesi ameipata akiwa anatekeleza majukumu ya kila siku ya klabu sasa vipi ajitenganishe na ssc

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiagizwa na mwajiri wako kutekeleza majukumu yako ya kikazi alafu njiani ukampiga mtu makofi hiyo siyo kesi ya ofisi.

Ndiyo maana TFF wao walidili naye kama CEO kuvunja kanuni zao
 
Genta, nakupendaaa na nimejitolea kuolewa na wewe kolo[emoji23][emoji23]
Umejiandaa kupokea matusi mazito mazito hasa yanayohusu ukoo wenu? Ila wanawake hawasomekagi, kuna dada mmoja humu aliwahi kusema anapenda kuolewa na mwanaume mkorofi korofi hivi, sio mwanaume aliyepoa hata fujo hafanyi
 
Genta kashakula BAN [emoji2]

Mods huwa hawamcheleweshi[emoji1787]
 
Mtu kasema ukweli Makolo wenzie wamemreport kala BAN ukweli unauma kudadadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…