Barbara Gonzalez na Tamaa ya Umaarufu

Barbara Gonzalez na Tamaa ya Umaarufu

Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.

Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.

Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.

Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.

Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.

Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.

Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Sitaki kuamini hukuwa high wakati unaandika huu uzi, babra kaingia simba baada ya senzo kusepa halafu wewe unaandika utopolo hapa
 
Kwa jinsi ulivyoandika hata wewe hujasoma kama ndugu Manara
Wewe ndo huelewi kitu , kichwa chako kimejaa makamasi , unadandia treni hata huelewi linaelekea wapi[emoji41][emoji41][emoji41]
 
CEO inaanza kushuka maana yake
Cheo kinakuwa hakina tofauti na supu na chapati
 
Kabla ya mkataba alikuwa anakula 700k ila baada ya kutiwa mkataba sahizi huenda anakula hata 2M
Baada ya kupewa mkataba yupo kwenye 4m Ila hata hivyo haku Saini maana hizo endorsements zake anapata zaidi hiyo 4m so anaamini kuwa bado yup. Underpaid.
 
Kweli endorsements zinalipa sana
 
Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.

Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.

Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.

Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.

Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.

Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.

Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Wewe na huyo Haji..kwenda zenu!
 
Naipenda HAMASA ya Manara, lakini natofautiana na hulka yake ya kuongea hovyo hata mambo ambayo kimsingi yangepaswa kujadiliwa ndani ya uongozi wa club yeye anapeleka taharuki kwenye vyombo vya habari!
Ifike mahala Simba iendeshwe kisomi, Haya mambo ya kuropoka hovyo tuwaachie Yanga, sisi twende next level!
 
Back
Top Bottom