Barbara Gonzalez na Wallace Karia wateuliwa CAF

Barbara Gonzalez na Wallace Karia wateuliwa CAF

Nilichogundua;
Baada ya juzi Waziri kumteua Ally Mayai mwenye uyanga kuwa Kaimu Bosi kule kwenye Wizara ya michezo

CAF nao wamejibu mapigo; nao wamefanya teuzi toka kwa watu wenye mapenzi na Simba na Coast union.
So nanI mshindi hapo?
 
Lazima kwenye +uchanganye na - la sivyo kazi hazitaenda!

Ndio maana shule za bweni uwa kipindi fulani wanakuwa na mziki kati ya shule ya wasichana na wavulana ili.............

La sivyo wanafunzi watawewuka....
 
Tuacheni ushamba, kamati zoote za CAF wajumbe au viongozi wake wanatoka katika FA za nchi mbalimbali Afrika. Tumekua na wajumbe katika kamati za CAF tangu Enzi za Said Elmaamly, Leodigar Tenga n.k Tena wajumbe wa kudumu achana na awa ambao Leo unateuliwa kesho katibu wa CAf akiwa mwingine unaondolewa.
Lakini hiyo yote haijawahi kubadili kiwango Cha mpira wetu. Mabadiliko ya Soka letu hayataletwa na Teuzi za watu wetu uko Caf.
Kunahitajika viongozi safi wenye kuweza kushawishi uwekezaji na mazingira rafiki katika mpira wetu.
Ni kweli viongozi wenyewe ni kama Karia kwenye uongozi wa Karia pekee tunashuhudia team zenye budget za mabilion ,Simba ,Yanga,Azam ,udhamini kama wa Azam ,TBC chini ya uongozi wa Karia ndio haya yametokea ,tulisahau ushiriki Africon lakini Karia chini ya uongozi wake imewezekana ,Leo team ya wanawake under 17 inacheza world cup,tuna league ya wanawake ungeiona wapi chini ya viongozi waliopita?,team kama Simba inacement ushiriki wa team nne club bingwa,viongozi wengine wangeweza wapi?Tanzania imeanda kombe la Africa under 17,pesa za fifa zinakuja na maendeleo ya vituo vya michezo vinajengwa,wakati fifa ilizuia pesa maana viongozi waliopita walikuwa majizi,leo idadi ya makocha wenye CAF diploma A na leseni A ni wengi .Hakika Karia ndio Riasi Bora kuwahi kutokea anayenipinga aorodheshe Rais yupi kafanya hata nusu ya Karia.
 
Back
Top Bottom