Tetesi: Barbara kutua Yanga

Tetesi: Barbara kutua Yanga

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
1690485508861.png

Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi.

Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
 
Hakuna timu za kijinga kama Simba na Yanga, yaani ukigombana na mmoja wapo wengine wanaona sana fahari kukupokea, ndo maana kina Morisson wamejipigia sana pesa kwa hawa mafala, na Manara pia...

Eti leo Yanga timu yangu inamuona Mkude ni mtu, mchezaji ana kila tuhuma za utovu wa nidhamu, yaani haya matimu kuna muda wanafanya maamuzi ya kifala sana
 
Hakuna timu za kijinga kama simba na yanga, yaani ukigombana na mmoja wapo wengine wanaona sana fahari kukupokea, ndo maana kina morisson wamejipigia sana pesa kwa hawa mafala, na Manara pia... Eti leo yanga timu yangu inamuona mkude ni mtu,mchezaji ana kila tuhuma za utovu wa nidhamu, yaani haya matimu kuna muda wanafanya maamuzi ya kifala sana
Mpira unatakiwa uzue hasira namna hii ili usikauke midomoni mwa watu. Vumilia tu
 
Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi.

Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
duh

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna timu za kijinga kama simba na yanga, yaani ukigombana na mmoja wapo wengine wanaona sana fahari kukupokea, ndo maana kina morisson wamejipigia sana pesa kwa hawa mafala, na Manara pia...

Eti leo yanga timu yangu inamuona mkude ni mtu, mchezaji ana kila tuhuma za utovu wa nidhamu, yaani haya matimu kuna muda wanafanya maamuzi ya kifala sana
Mkuu kuna vitu hata havitakiwi kukuumiza kichwa relax
 
Back
Top Bottom