Tetesi: Barbara kutua Yanga

Tetesi: Barbara kutua Yanga


Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi.

Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
Safi sana wazee wa used

Vuteni gomba hilo

Senzo
Haji
Barbara
Mkude
 
Hakuna timu za kijinga kama simba na yanga, yaani ukigombana na mmoja wapo wengine wanaona sana fahari kukupokea, ndo maana kina morisson wamejipigia sana pesa kwa hawa mafala, na Manara pia...

Eti leo yanga timu yangu inamuona mkude ni mtu, mchezaji ana kila tuhuma za utovu wa nidhamu, yaani haya matimu kuna muda wanafanya maamuzi ya kifala sana
Kwenye simba na Yanga, profesa wa UDSM anakuwa sawa na muuza Dadii wa Matejoo. Ukiingia kwenye ushabiki wa hizo timu ili ufaidi haitakiwi uwe na akili timamu. Ingia huko ukiwa umejizima data
 
Hakuna timu za kijinga kama Simba na Yanga, yaani ukigombana na mmoja wapo wengine wanaona sana fahari kukupokea, ndo maana kina Morisson wamejipigia sana pesa kwa hawa mafala, na Manara pia...

Eti leo Yanga timu yangu inamuona Mkude ni mtu, mchezaji ana kila tuhuma za utovu wa nidhamu, yaani haya matimu kuna muda wanafanya maamuzi ya kifala sana
Kuna mwanamke anatoka na mwanaume usiemkubari, unajisemea yaan yule ndie anaelala nae kitandani? Utakufa na KIHORO usichukulie Mambo serious sana
 
Back
Top Bottom