Barbara na MO wakiziujulu Manara atarejea Simba?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi.

Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba kunaweza kumrudisha Manara Simba? Kwanini arudi Simba na kwani aendelee kubaki Yanga?
 
Ana mkataba na GSM hawezi kurudi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi.

Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba kunaweza kumrudisha Manara Simba? Kwanini arudi Simba na kwani aendelee kubaki Yanga?
Manara ni chawa aliyekomaa, kwake ni pesa tu mapenzi kwa timu siyo hoja ya msingi sana kwake. Hao wakiondoka hawezi rejea kwani Simba itahamia kwenye kutembeleza bakuli na hayuko tayari kurudi huko, labda Mo aondoke na aje tajiri wa kueleweka kama Bahresa.
 
Manara hatakiwi Simba hizi timu Zina tamaduni zake ambazo alizivunja
sio kweli, hakuna tamaduni siku hizi kwenye hizi timu, zinaweza kupokea wachezaji na viongozi kutoka simba na yanga. Simba inaweza kuchukuliwa na GSM kupitia yule mdhamini ya Prisons aliyewaahidi 20m kama wakiifunga Yanga. Kumbuka kuwa nasikia hata GSM ni thimba damdam, na hata nembo ya GSM itasadifu vizuri ikiwa kwenye jezi za Simba kuliko Yanga
 
Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi.

Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba kunaweza kumrudisha Manara Simba? Kwanini arudi Simba na kwani aendelee kubaki Yanga?
Kwani Mo anaondoka kwenda wapi. Ana safari ya kwenda wapi. Nani alipata taarifa kutoka kwake au ni hisia binafisi. Wabongo bwana wanashindwa kufanya mambo ya msingi na kujadili mada jadidi za kimaisha badala yake wanaishia kumjadili mtu.
 
sio kweli, hakuna tamaduni siku hizi kwenye hizi timu, zinaweza kupokea wachezaji na viongozi kutoka simba na yanga. Simba inaweza kuchukuliwa na GSM kupitia yule mdhamini ya Prisons aliyewaahidi 20m kama wakiifunga Yanga. Kumbuka kuwa nasikia hata GSM ni thimba damdam, na hata nembo ya GSM itasadifu vizuri ikiwa kwenye jezi za Simba kuliko Yanga
Manara wa kwenu hakuna anayemtaka Simba bila kujali Babra na Mo wapi au wameondoka
 
kwenye mtonyo hakuna rafiki au adui wa kudumu. Kama mwekezaji atasema anamtaka manara pangu pakavu wote watalazimika kukenua tu. Yanga walikuwa hawamtaki manara kama mavi, lakini mwekezaji alimtaka manara na hakuna aliyefurukuta. Umaskini mbaya sana, tutafuteni fwedha kwanza kuongea baadae.
 
Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi.

Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba kunaweza kumrudisha Manara Simba? Kwanini arudi Simba na kwani aendelee kubaki Yanga?
Akapige mswaki kwanza ndiyo afikiriwe
FB_IMG_1670841358140.jpg
 
Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi.

Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba kunaweza kumrudisha Manara Simba? Kwanini arudi Simba na kwani aendelee kubaki Yanga?

Kwa hiyo Manara akirudi Simba ana uwezo wa kuifadhili Simba? Wewe nadhani akili yako iko huko chini kwenye mbupu na makalio!
 
kabla ya Mo na Babra, Simba haikuwepo? Manara yupo GSM anapiga kazi, Manara anaangalia Maslah tu wakimwita afanye nao kazi kwa dau zuri ataenda kwani we unamuonaje yule jamaa?
 
Back
Top Bottom