Barbara na MO wakiziujulu Manara atarejea Simba?

Tangu kuanzishwa kwa simba 1936 mpaka leo hii hakuna hata mahali sunderland(simba) walitembeza bakuli na hawatotembeza bakuli nipo hapa
 
Wewe ndio unajitoa ufahamu ulishasikia Kuna mtu kajitoa Simba sababu ya Manara
Muda sio mrefu utasema tena hatumtaki Barbara. Kaka jifunze kutumia kusema kwa takwimu. kama huna takwimu tumia neno "Mimi ......." mfano, sema mimi simpendi yule msichana badala ya kusema watu hawampendi yule msichana, au msichana yule ana tabia mbaya, sikipendi hiki chakula, simpendi mke wangu, nk. maana inawezekana kuna watu wanaompenda meo ingawa wewe mwenyewe humpendi.
 
Wewe utopolo unataka kuwaamlia Simba au kuwasemea Simba Kuna mwanasimba yoyote amekutuma
 
Manara wa kwenu hakuna anayemtaka Simba bila kujali Babra na Mo wapi au wameondoka
Manara ni wa kwenu bhana! Aliajiriwa Yanga na GSM, baada ya kulalamika mshahara mbuzi wa laki 7!

Ila kimsingi yule jamaa ni ndugu yenu kabisa wa damu. Na siku si nyingi atarejea kwenye klabu yenu. Sisi Yanga hatuna shida naye tena. Tulimchukua kwa muda tu, ili kuwakera! na kwa sasa hana tena nafasi kwenye klabu yetu. Ali Kamwe anatosha.
 
OK
 
Why unajadili vtu usivyokua na uhakika navyo Mo katangaza wapi au katoa taarifa lini ya kutaka kuondoka Simba

Tujadili vtu vyenye uhakika sio kua wanganga wa kienyeji
 
Tulimpa baraka zote mlipomchukua Sasa hivi tuna Ahmed Ally anatosha
 
Hana hata kadi ya simba nnachokumbuka mlimpatia mpaka kadi ya uanachama huo mzigo ni wenu
 
Wewe utopolo unataka kuwaamlia Simba au kuwasemea Simba Kuna mwanasimba yoyote amekutuma
unajuaje kama hakuna mwanasimba aliyenituma? Jifunze kuzungumza kwa takwimu. Unapenda sana kuwazungumzia wengine kwanini? Nimekwambia kuwa usijumlishe madai na malalamiko. Mwambie mkeo kuwa chakula hiki "mimi" sikitaki badala ya kumwambia kuwa "chakula chako ni kibaya". Polepole nitakufundisha hadi utaelewa namna sahihi ya ku communicate. Usiichulie Simba kama taasisi yako binafsi.
 
Sasa we uto unaumia nini
 
Inaonekana na wewe upo yanga kimaslahi siku Simba wakikuahidi kitu unahamia Simba
off course!! wanahama waliokuwa mawaziri wakuu na wabunge kwenda chadema sembuse mimi? Hata wewe nakushauri ufanye hivyo, usiache ela wewe watoto waende chooni.
 
off course!! wanahama waliokuwa mawaziri wakuu na wabunge kwenda chadema sembuse mimi? Hata wewe nakushauri ufanye hivyo, usiache ela wewe watoto waende chooni.
Kwa vijana wa siku hizi sishangai ndio maana mnashindana kusifia kusubiri tatizo Mimi nitabaki na msimamo wangu
 
off course!! wanahama waliokuwa mawaziri wakuu na wabunge kwenda chadema sembuse mimi? Hata wewe nakushauri ufanye hivyo, usiache ela wewe watoto waende chooni.
Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kuwa na msimamo ukikosa msimamo tayari unapoteza sifa ya uanaume
 
Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kuwa na msimamo ukikosa msimamo tayari unapoteza sifa ya uanaume
Hakuna rafiki na adui wa kudumu kwenye maslahi kwa watu makini wenye akili. Hakuna mtu hapa duniani asiyekuwa na bei (Price tag)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…