Barbara na MO wakiziujulu Manara atarejea Simba?

Manara anataka Pesa,Simba Pesa ipo?
 
Inaonekana na wewe upo yanga kimaslahi siku Simba wakikuahidi kitu unahamia Simba
kaka watoto watashiba maneno ya kishabiki tu? Kila kitu lazima uzingatie maslahi yako, la sivyo uzee utakukuta ukiwa kama mzee Mpili, Kilomoni, Akilimali na wengine ambao walizipenda sana simba na yanga hivihivi tuu. gutuka kaka kama nawewe uko kwenye njia hiyo. Wako watu wako tayari kuuza mechi ili kupata pesa, marefa wanapokea pesa, wadhamini wanapokea pesa, viongozi wanapokea pesa, tff wanapokea pesa, wauza maji, mavuvuzela, bia, karanga na jezi uwanjani wanapokea pesa kasoro wewe tu.
 
Sifa ya kwanza ya mwanaume ni kuwa na msimamo ukikosa msimamo tayari unapoteza sifa ya uanaume
maneno hayo ya mtaani wanayaita "maskini jeuri" wanao lazima wale, walale, watibiwe na wasome, watasomaje kwa kushabikia Yanga au Simba tu. Kazi na dawa bhana wee. Mpira ni furaha lakini hakuna furaha bila chakula.
 
Naogopa nikikwambia ukweli utaona kama nakutukana ila siwezi kupoteza utu wangu sababu ya pesa vidole havilingani na watu haturingani usilazimishe mtazamo wako ukawa wa
 
 
maneno hayo ya mtaani wanayaita "maskini jeuri" wanao lazima wale, walale, watibiwe na wasome, watasomaje kwa kushabikia Yanga au Simba tu. Kazi na dawa bhana wee. Mpira ni furaha lakini hakuna furaha bila chakula.
Wanaume tutaendelea kubaki wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…