Barbershop girls pose a new threat to marriage

Mbu huyu soulmate mpya unampenda sana eeee, kama unampenda mwachishe hiyo kazi kuna mabazazi ya kufa mtu, yanaweza yakambadili ukajutia tena nafsi, sipendi kukuona unasuffer tena kama kipindi kileeeeeeee

Bora Gaga umtahadharishe huyu kiumbe, akipokonywa huko asijerudi na kilio hapa, tissue za kumfuta machozi hatuna!!

Hapo red hapo panahusu........natamani ningemwona enzi hizo
 

Unaweza ukayanunua yakaozea ndani>
 

Ni kweli kabisa ndugu yangu, This is something to keep in our Memory. We need to change.
 
Mnh? ...kitumbua changu mchanga msinitilie! Huyu wa sasa wala sifikirii atanitenda. Akinitenda hamtaniona tena jukwaa hili... Aibu!
 
Mkuu hii kitu bwana ni hatari sana,wale wadada wanajituma sana yani mambo taratiiiiibu halafu ukimsemesha anajifanya hajasikia anakusogelea karibu kwamacho legevu umwambie tena mmh!shetani ana sura nyingi sana jamani.

Kuna siku nilihudumiwa na dada mmoja yaani alikuwa na kajeans na katop kafupi na huko ndani kavaa vile vichu..... vyao ni vikamba flani tu vinaonekana juu kidogo huku makalioni mmh! sasa hayo macho na hiyo mikono inavyotumiwa,na hawa bwana wanajua udhaifu uko wapi wakifika hapo wanang'ang'ania.Kazi kwa kweli ipo.

Kuna mchangiaji kawaasa kina dada/mama wawafanyie wapenzi wao hii kazi wasiende salon ila ukweli ni kwamba hawa wa nyumbani wanalipua kazi wakati mwingine au wana concentrate na majukumu mengine zaidi.

Angalizo:A real man has a limit and control of himself,vinginevo kwa dunia ya sasa hakuna mwanamke mbaya kila mtu utataka kumfunua.
 
Hili jambo ni zito sana na inabidi tulijadili vizuri,

huwa naenda sana huko kufanyiwa madowido na huwa naskia raaaaaa maana ni watundu, ila kama u ar strong man and u love ur spouse hayo yote yataishia hapohapo saloon,

wanasaidia kutupunguzia stress na frustration maana ukitoka huko unajiskia raaa japo wanachukua hela nyingi kweli lol.

USHAURI tuache kabsaa kwenda huko au ukishanyolewa chapa lapa usitake kuoshwa...
 

Mwj1,...nilikuwa nafikiria nianzishe thread; Nini Malengo yako kwenye Ndoa. Lakini kwa jinsi ulivyoielezea hapa, nadhani utaeleweka zaidi.

Ndimi Mwanafunzi wako Mtiifu.
Amen.
 
Mkuu hapo lazima ulifanyiwa massage ya kichwa au alikupaka dawa ya mmba elfu 5, kunyoa max elfu 3, scrub max elfu 3 au labda ulipaka black/magic.
 
Mwj1,...nilikuwa nafikiria nianzishe thread; Nini Malengo yako kwenye Ndoa. Lakini kwa jinsi ulivyoielezea hapa, nadhani utaeleweka zaidi.

Ndimi Mwanafunzi wako Mtiifu.
Amen.

Mbu kusema ukweli ninasikitika sana pale ambapo tunashindwa kujifanyia wenyewe SWOT na SWOC na badala yake tunakimbilia kublame expternal factors phwee......Mie wangu atatoka kwa kuwa tu anajisikia kutoka (hulka yake) lakini asitegemee kuwa atatoka na kupata justification ya kutoka kwake.
 
Reactions: Mbu
The thing is massage is professional... Mke atajifunza wapi, saa ngapi...
aah! Mke unajifunza kabisa. Ngoja nitafute centre nikajifunze kabla cjaolewa. Shaving na after shaving services nitamfanyia mwenyewe. Kumbe ndio zao. Lol.
 
Mume wangu yeye akishakata nywele anachapa lapa. Yuko tayari alipie hiyo service bila kuitumia kwani salon nyingine wanalazimisha ulipe full package. Anachofanya anakunguta nywele kuoga nyumbaniiii. Kwanza mnazeesha hizo ngozi zenu na facial scrubs massage ya low quality products tena unakuta ni weekly, shauri zenu. Ndio maana unakuta siku hizi wanume sura kama wanawake na wengine chunusi juu. Mnapenda mapowder eeh

 

...natamani ku comment, lakini acha watoto wakalale kwanza...



LOL,....NK bana!...
 
Mmewasahau na wale wanaotoa huduma ya massage tu.,kuna kitu inaitwa "full body massage" ni noma maana lazima uchojoe na kufungwa taulo tu, halafu huyo binti anayetoa hiyo huduma sasa nae ili awe comfortable lazima avae kimtego.,hapo ukitaka chochote zaidi ya massage ni wewe tu.
 

Umesema kweli ila umesahau kuwakumbusha wamama wafanyeje badala yakwenda kusafishwa miguu na kutengenezwa kucha na wanaume.
 
I beg to differ Sir,
Since the annotations are gender prejudiced! Let me put to your awareness that there are also feminine salon operated my male attendants mainly Congolese, but I haven’t ever heard of any complaints resulting on this state of condition!
However it is of my understanding that, if male or female goes to service (Barber/Salon) providers for other than hair dressings it is not due to the outlook or kneading expertise of the attendants except that it is habits of the client him/herself.
Instead of being apprehensive, let wives and husbands learn how to gently massage their spouse in house in order to avoid desirous might arise by being touched while on barbershops and salons.
I plead to submit.
 
Mh... sis'

Yani kila kinachompa mwanaume comfort sasa si kitakua threat to marriage?? to me a threat to any marriage is the marriage itself!
..Sure man you have it all.............!!
 

Kweli kaka. Vipi wale wanaopaka kucha rangi? Yaani mwanamke anamwachia mguu kijana anauchezea anavyotaka.
 
na wewe sasa tutawaimini vipi hao wakala wa kizaire? kama unaweza kumfanyia masaji bf wako si usimzindikize saluni? halafu he is just a boyfriend sio mume wako we are talking about marriage here. bf anaweza kamata yeyote yule na wewe pia yeyote anweza kukukamata

 
money money money, mshiko mshiko mshiko, they are after aining some money and they want more money! wala si kwa wanawake wa babashopu tu ziko sehemu nyingi; kuna wahudumu wa gest, wahudumu wa bar, hata kwenye stand za mabasi/daladala, ndani ya mabasi/daladala, hotelini, migahawani. Kwenye gest unaweza ukaingia na mwanamke lakini bado muhudumu akakutamani na ukitongoza anakubali mi nilishachukua muhudumu wa gest na mpaka sasa ni mpenzi wangu, kabla ya hapo nilikuwa natumia gesti hiyo na mwanamke mwingine. Pia katika babashopu moja nilifanyiwa masaji siku moja na binti mmoja wakati tuko chumbani nikamuomba namba ya simu akanipa akaniambia siku ambayo yuko off nikamtwangia na alikuwa tayari kuja ila ni kayeyusha, baada ya hapo yule binti akatokea kunichukia na nikienda tena kunyoa nafanyiwa na wengine. Hivyo kila sehemu saizi wasichana wamekaa kimitego saana, popote utakapo gusa ok unakula mzigo. na ukiamua kuwa malaya unawakanyaga kweli mpaka wanakugombania. Kwa level yangu mi naamini nikimtaka msichana yeyote nampata wala si issue, mradi mpunga upo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…