Barbra Hassan wa Power breakfast.

Barbra Hassan wa Power breakfast.

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4 Asubuhi inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist..Pia ana ushawishi sana yaani akiamua kutangaza au kuisifia bidhaa fulani lazima uinunue tu Chali'angu..
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,
By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.
 
Attachments

  • a.JPG
    a.JPG
    25.9 KB · Views: 86
  • ah.JPG
    ah.JPG
    17.9 KB · Views: 82
Fala wewe. Ni si tusi hasa kwa watu wa rika moja mliozoeana.
 
Hicho kipindi kilikua kitamu enz za pj Na hando
Kwa Sasa hakuna ktu kabsa
 
Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM
inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist.
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,

By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.
I suppose you meant Barbara?
 
usijali

hao akina Caesar wanakuwa wanamtekenya na maneno ya huba

na kwa desturi hicho kipindi hakinogi bila Babra...Fala,pumbav,ntakuzimia mike,toka nje..kudadadek.!
 
usijali
hao akina Caesar wanakuwa wanamtekenya na maneno ya huba
na kwa desturi hicho kipindi hakinogi bila Babra...Fala,pumbav,ntakuzimia mike,toka nje..kudadadek.!
Naelewa Dingii coz ata kina Hando walikua wanamfanyia ivo,lakini Fala wewe!dooh haijakaa poa hii.
 
Masoud kipanya ndio competent pale. Akija mgeni kwenye kipindi Au wakati wa bonge Au wakati wa magazeti mostly masoud ndio huwa anauliza Maswali yenye kufikirisha zaidi.. ...asipokuwepo masoud naona Kama kipindi Hakina radha kabisa... Sizza kidogo anaimprove...
 
Yeah!Offcourse KP ndo muulizaji wa maswali pamoja na Sizza,ila Controller anaekiongoza kipindi ndo Barbara.
 
Back
Top Bottom