ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Watawala halafu maprofesa wanaitwaga wapumbavu....itakuwa kipanya?Mkuu mbona mwenye nchi hii huwaita baadhi ya wateule wake wapumbavu.....nafikiri babra ameiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawala halafu maprofesa wanaitwaga wapumbavu....itakuwa kipanya?Mkuu mbona mwenye nchi hii huwaita baadhi ya wateule wake wapumbavu.....nafikiri babra ameiga
Kipindi cha kishamba sana!Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4 Asubuhi inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist..Pia ana ushawishi sana yaani akiamua kutangaza au kuisifia bidhaa fulani lazima uinunue tu Chali'angu..
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,
By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.