Mkuu refa katubebajeMkuu acha noma Refa na Uefa ndio zimewabeba kudadeki... Game haikuwa haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu refa katubebajeMkuu acha noma Refa na Uefa ndio zimewabeba kudadeki... Game haikuwa haki
Kesho safariUshafika Congo mkuu..
[emoji4][emoji4][emoji4] barca siyo watu wa mchezo mchezoNimeshatoa taarifa kwa mod, tusubir matokeo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MMEANZANaona Mkuu leo Meno yote 32 utakuwa umetoa... ila was not a good game japo mmeshinda kwa Tabu na usaidizi tuwe wakweli
MKUU WE MBONGE LA MTABILI YAANI WEWE UKISEMA KESHO KUNA MAFURIKO DSM NAHAMA HAKIKA NIMEKUVULIA KOFIA!Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....
NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
![]()
Ilimradi tu kuna Messi, Neymar na Suarea amini kila kitu kinawezekana.Nimejikuta narudi bar kunywa!!!... baada ya majamaa kupata moja uzalendo ulinishinda, nikahisi sala zangu zimegonga mwamba...
Kumbe LOOOOOO
Hivi Arsenal wangebebwa wangeweza kufanya walichofanya barca?? Barca ilivyocheza, hata malaika mbinguni walifurahia. Kama wamebebwa, waliowabeba wamesamehewa dhambi zao.Mkuu acha noma Refa na Uefa ndio zimewabeba kudadeki... Game haikuwa haki
Tunakujua wewe bashite wala hutusumbuisitakaa niipende Barcelona mpaka naingia kaburini.....I hate I hate Barcelona team, players, fans and all around them...I hate them........hala hala real Madrid my beloved team
Vipi ushakamirisha uraia wa DRCKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Kesho naanza safariVipi ushakamirisha uraia wa DRC
Kwa furaha kama hii huwezi kulala mkuu...this was out of this world. Mentality maturity leo ilikuwa inasoma 100%.The world stopped for a while aisee nimerukwa na usingizi silali tena
penati ya suarez kajitupa kinafiki as usual na goli la sita litizame fresh ni offside mkuuMkuu refa katubebaje
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kesho naanza safari
So whatpenati ya suarez kajitupa kinafiki as usual na goli la sita litizame fresh ni offside mkuu
Rest in peacebarca wakitinga robo fainali nakunywa sumu leo leo