Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nakusalimia
Naona Mkuu leo Meno yote 32 utakuwa umetoa... ila was not a good game japo mmeshinda kwa Tabu na usaidizi tuwe wakweli
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tuliamini wengi kwamba "Barcelona itashinda"

66c96a0c2366feedcc3af42b5fa4cec1.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
barca timu mbovu sana isee wanategemea kubebwa bebwa tu na marefa
Ila wamebebeka.... Asante ndo wanadam tulivyo... Hata man u Enzi za furgie mashabk wa team pinzan walidai anabebwa....

Hamna ushind mzur kama huu...dk za lala salama..
 
Fanya kitu kimoja. Ipende Barca utake usitake. Utakufa kwa Pressure. Tambua kinyongo huzaa Cancer.

Ni timu pekee ambayo kuitoa Champion League round ya 16 ni ngumu sana.

Barca ndio timu pekee ukiwa shabiki wake; unaingia uwanjani una 60% ya ushindi. Ila huko Arsenal sijui Real Madrid utakufa mapema.
sitakaa niipende Barcelona mpaka naingia kaburini.....I hate I hate Barcelona team, players, fans and all around them...I hate them........hala hala real Madrid my beloved team
 
Back
Top Bottom