GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Mkuu nina imani ushaanza safari yakoKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nina imani ushaanza safari yakoKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Mambo vipi Mkuu?Kwaheri ya kuonana msimu ujao
Mkuu naomba nikusaidie nauli, nipe number yako ya simu nikurushie through mobile money!Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Except Barcelona.No team has ever overturned a four goal deficit in champions league history
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nina imani ushaanza safari yako
Ushapata kadi ya kijani mkuubarcelona akishinda naamia chama cha mapinduzi
Karibu saana Mkuu. Tuna Thread ya Barca.Haya ni maajabu kwa Spain najiunga rasmi kuwa mshabiki wa barcelona
mi sijaona mpira wowote waliocheza barca Zaidi ya kubebwa na refa.....Walikuwa wanajichelewesha kurusha mipira na kupiga faulo. Refa ana wahesabia tu.
Good & enjoyable football by Barcelona. Hii timu mtaipenda tu. Si beki wala kipa wala nani ni vyenga tu.
Ha ha ha tunawataka Bayern wababe wa Vilaza wa England.
Hiyo ndio Barca bhana. Bora uipende tu.
Kaka eeh, HAMIA CONGO DRCKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu naomba nikusaidie nauli, nipe number yako ya simu nikurushie through mobile money!
Hahahahaha Safari njema umebet pazuri maana unakimbia shida.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nafanya mpango kesho niondoke
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Hellooooooo!Tatizo mnamgeuza emery uncle wenu nani atakaye mzuia Cavan asifunge PSG si timu ya kuunga unga draxler ,de maria nyuma yao matuidi dimba la kati verati rabiot hawatakagi ujinga PSG akifungwa mpira haujatendewa haki siongelei kutolewa hiyo haiwezekani ni kama kuota raisi atakufa
Kuanzia keshoKaka eeh, HAMIA CONGO DRC
Mod naomba huyu mtu apewe ban.Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
barca timu mbovu sana isee wanategemea kubebwa bebwa tu na marefaNdio walibebwa na ndege mpaka Paris wakapigwa 4 wakabebwa mpaka Spain wakampiga mtu 6
Mkuu, karibu saana Barca.kaaaaaaaaaaaaaaaaaah ....hakya Mungu hawa barcelona sio wa sayari hii
Haya mkuu nimekukubali uko juu!Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....
NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
![]()