Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Kweli kuna watu wachawi. Goal 6 hatimaye zimepatikana hapo hazijazaa matunda ila wamekufa kiume.
 
Waamuzi wamechangia kuwanyonga watoto wa Paris...
Ila huyu Neymar huyu,ana roho mbaya sana..!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kweli mpira ni dakika 100
 

Attachments

  • IMG-20170309-WA0001.jpg
    IMG-20170309-WA0001.jpg
    32.4 KB · Views: 44
  • Thanks
Reactions: PNC
2 SHIT PENALTIES
3 mins ET in first half and another 5 in second half
But also shit Paris
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unapenda timu zinazonunua Mechi? Dakika tano zilitokea wapi hadi zikaongezwa? Suarez kajiangusha na goli la sita si halal rushwa hatari...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nakusalimia
 
Ndo tumeionyesha Dunia tulivyo na nguvu ya kuusimamisha ulimwengu[emoji126][emoji126] [emoji288][emoji288][emoji126]
 
Back
Top Bottom