Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Sijawahi ona timu uozo kama PSG yaani wachezaji wameshindwa kuzuia mashambulizi ya barca? Dah kibongobongo unahisi kama wamepokea mlungula
 
Haya ni maajabu kwa Spain najiunga rasmi kuwa mshabiki wa barcelona
Unapenda timu zinazonunua Mechi? Dakika tano zilitokea wapi hadi zikaongezwa? Suarez kajiangusha na goli la sita si halal rushwa hatari...
 
Barca anapigwa tena na Leo....... time will tell!! Tatizoo sio PSG kocha wa Sevilla Yule ndo kubwa la maaduii anaijua barca adii uvungunii [emoji23][emoji23]
Vipi Leo kaisahau??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna lolote ngumu chini ya jua
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom