Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Hayaaa I pray to God
Visca Barca Forca
 
Asasaleeeeeeeeee
Kumamaeeeeeee
Kibandaa kinaunguaaaa
Cjui psg wanacheza au wanafanyaje
 
PSG chaliii. Kama mlenda. Wanashindwa kulinda ushindi mnono wa goli 4 bila?
 
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mambo yameharibika, jamaa wametupia kamoja!! Sasa ni shughuli pevu Barca anatakiwa apige 6-1 ataweza?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji12]
 
hahahah aibu sana bwakalona mnatoka round of 16 on per wit aseno😱😱😱😀😀
 
Back
Top Bottom