Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa BARCA ss tutawabakaWatashinda lakini hawatavuka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nawaonea huruma PSG
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Anasema hawachezi vzur wakat ndio timu inaongoza kwa position ulayaBarcelona basi ni team kubwa sana duniani hawachezi vizuri but wapo nafasi ya kwanza laliga
Mkuu kuhusu kuwapiga 6 haipingiki ila wakilegeza huenda wakaondoka na 8Game itachezwa from first 1 all assets on disposal tena nina wasiwasi watakaa saba
We can do it [HASHTAG]#Forcabarca[/HASHTAG]
Me huwa nawashangaa sana hawa jamaa kila mtu anaichukia Barca[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Anasema hawachezi vzur wakat ndio timu inaongoza kwa position ulaya
Hawachezi vzur wakat beki za Barca ndio zimeruhusu goli chache LA LIGA
Hawachezi vzur wakat MSN ndio forwad tishio ulaya
WANASEMA BARCELONA WABOVU
Huku anaongoza LA LIGA pia ANASUBIRI FAINAL KOMBE LA MFALME ma bado PSG wanasubiriwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HATUJUTII KUWA BARCELONA
[HASHTAG]#HATUSHINDWIIIII[/HASHTAG] BARCA#
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu mkuu nilichokiona ni bora madrid wacheze na Mmoroco ili magoli mengi yasipatikane tofauti.na akiwa hayupo kila mtu anataka kufungaMe huwa nawashangaa sana hawa jamaa kila mtu anaichukia Barca
View attachment 477485