Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UZI Haujakamilika mkuu...malizia Barcelona ikishindwa kuitoa PSG utameza zana ipi ya kilimo?????maana ushamaliza kumeza zana zote za kilimo kuanzia mundu visu hadi shoka kwa utabiri wako kwenda kombo. Haaaa haaa haaaaaIle siku waliotea hao watu utakua hauwaoni Jumatano Macherano is back
Ha ha umekariri this is not a drillUZI Haujakamilika mkuu...malizia Barcelona ikishindwa kuitoa PSG utameza zana ipi ya kilimo?????maana ushamaliza kumeza zana zote za kilimo kuanzia mundu visu hadi shoka kwa utabiri wako kwenda kombo. Haaaa haaa haaaaa
thats your character bro na ndio utambulisho wako...unatabiri unaweka ahadi ya kumeza vitu vya chuma...sasa sisi mashabiki wako tukiona tu uzi wa Mwekundu tunafuatilia kaahidi kumeza nini this time!!!Ha ha umekariri this is not a drill
Ha ha i know You are welcome Barca atapiga mtu 7thats your character bro na ndio utambulisho wako...unatabiri unaweka ahadi ya kumeza vitu vya chuma...sasa sisi mashabiki wako tukiona tu uzi wa Mwekundu tunafuatilia kaahidi kumeza nini this time!!!
Eeee baba eeee hizo deadly reming uwiiii Utabili wangu ni 3-2Barca ni team kubwa so zote zilizopo chini yake ni team ndogo hadi Madrid pia ukiwemo [emoji123]
hahaha. si 11 hizo?uko sahihi kabsa MESSI 3 NEYMAR 2 SUAREZ 2 hao viungo wakipiga goli moja moja si mbaya
Okay get off the table and sit on the damn chairMe huwa nawashangaa sana hawa jamaa kila mtu anaichukia Barca
View attachment 477485
Jiandae kuhama na roho yko mbaya.Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Aisee kusema ni rahisi,lakini kivitendo ni ngumu sana.Hivi kweli goli 4-0 za mechi ya kwanza ina maana Barc.hawakucheza ila PSG ndio walicheza peke yao?PSG sio timu ndogo kama unavyodhani,hawana jinsi hii timu imetolewa tu hata wacheze vipi.VIVA BARCELONA
HAKIKA TUTAWASAMBARATISHA KWA GOLI KUANZIA 6
Huu ushabiki unaoambatana na shine ya maharage na kacholi nahisi inakusumbua sanaKuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....
NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
![]()
Kuimba bolingo.. HahhahKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC