Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....

NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
2a642f67799f8e7bdc75def3ec7781e6.jpg
Barcelona hii kwakweli hapana,
Hawawezi kutinga hatua ya robo final.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_2017-03-07-20-51-41-1.png

Enrique amepita mule mule nilimowaambieni hii sio coincidence mimi na Lous Enrique tufikirie kitu kimoj ni calculated
 
Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....

NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
2a642f67799f8e7bdc75def3ec7781e6.jpg

Barca iko ICU....PSG hii si ile ya zamani kaba ya wewe kuzaliwa. Barca ianze tu kujijenga kwa msimu ujao ila kwa leo wasahau tu.
 
View attachment 477876
Enrique amepita mule mule nilimowaambieni hii sio coincidence mimi na Lous Enrique tufikirie kitu kimoj ni calculated

Wewe ulitaka Enrique aseme nini ikiwa yeye ni kocha wa Barca? Subiri kipigo cha leo kisha uje utuambie kajiteteaje. Hayo maneno ni njia ya kujipa moyo tu ila anajuwa fika kuwa wamekwisha.
 
Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....

NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
2a642f67799f8e7bdc75def3ec7781e6.jpg
FUTURE IMPOSSIBLE TENSE
 
LEO NIKICHELEWA KUTIZAMA MPIRA KWA DAKIKA KUMI
NITAKUTA BARCELONA ANAONGOZA 3:0[emoji123]

VIVAAAAAAAAA
BARCELONAAAA
 
Hahaha nimekumbuka mechi ya Ngaya vs Yanga. Mnadhani PSG in Arsenal iliyopigwa goli 10 mechi mbili? Barca ikipita mods nipigeni ban ya mwaka.
 
Barca ni team kubwa so zote zilizopo chini yake ni team ndogo hadi Madrid pia ukiwemo [emoji123]
Sikatai, kushinda mtashinda ndio...
Tena mechi ya leo mtaibuka kwa ushindi wa magoli 5 - 1, ila na safari yenu ya michuano itaishia hapa hapa
ndiyo ujue Celta siyo timu ndogo, lakini jana tumeifunga 5 timu uliyotufunga nne na iliyowafurusha CDR. jtano utaona maajabu. nyie mkichomoka kwa Napoli nakununulia vocha ya 2,000. i have a hunch kwamba hamchomoki.

BAO 6 ZINAWAHUSU
 
Cjui nlitoka wap na hii tim
Ya arsenal bdo spart majibu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom