Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nawaonea huruma PSG
Game itachezwa from first 1 all assets on disposal tena nina wasiwasi watakaa saba
We can do it [HASHTAG]#Forcabarca[/HASHTAG]
 
Reactions: PNC
Barcelona basi ni team kubwa sana duniani hawachezi vizuri but wapo nafasi ya kwanza laliga
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Anasema hawachezi vzur wakat ndio timu inaongoza kwa position ulaya
Hawachezi vzur wakat beki za Barca ndio zimeruhusu goli chache LA LIGA
Hawachezi vzur wakat MSN ndio forwad tishio ulaya

WANASEMA BARCELONA WABOVU

Huku anaongoza LA LIGA pia ANASUBIRI FAINAL KOMBE LA MFALME ma bado PSG wanasubiriwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

HATUJUTII KUWA BARCELONA

[HASHTAG]#HATUSHINDWIIIII[/HASHTAG] BARCA#
 
Me huwa nawashangaa sana hawa jamaa kila mtu anaichukia Barca
 
Me huwa nawashangaa sana hawa jamaa kila mtu anaichukia Barca
View attachment 477485
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu mkuu nilichokiona ni bora madrid wacheze na Mmoroco ili magoli mengi yasipatikane tofauti.na akiwa hayupo kila mtu anataka kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…