Naona umejificha uvunguni leopigaaaaaaaaaa mbwaaaaaaaaaaaaa
Mbona unapiga kelele mdau?pigaaaaaaaaaa mbwaaaaaaaaaaaaa
Kwanza hawezi chomoka pili hata kama akishinda ndoo habebi!!Barcelona akiqualify leo basi ndoo ya UCL yake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana ni hisiaMbona unapiga kelele mdau?
PSG sio kipimo cha UCL licha ya ukweli kwamba game hii nina imani kubwa na Barca kwamba atasonga mbele.Barcelona akiqualify leo basi ndoo ya UCL yake