Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Jamani rakitic muacheni
Mapafu ya mbwa Moyo wa plastic
Miguu ya chuma
Kocha alishawaambia kuna wachezaji inatakiwa wa suffer ili tushinda wakiwamo Rakitic,Basquets ,Iniesta ,Macherano na Neyma
 
penati ya suarez kajitupa kinafiki as usual na goli la sita litizame fresh ni offside mkuu

Kujidondosha kwa suarez ni moja ya mbinu katika mchezo na yeye si wa kwanza kufanya hivyo, wapo wengi wameshafanya hivyo. ila unasahau kwamba barca kanyimwa penalty mbili za halali.
Alafu pia goli la mwisho sio Offside, naomba wewe ndio cheki vizuri na kama unabisha sitoshindwa kukuletea video ( Thanks to Intel )
 
Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....

NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
2a642f67799f8e7bdc75def3ec7781e6.jpg
We noma jamaa.. Umetishaaaaaa
 
Dah......jamaa ni zaidi ya mtabiri aseeee 6 zlezleeeeee!
 
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Iceman, ushakamilisha mchakato wa kuwepo Congo DR, hii ni wapi Kivu, Baraka, Lubumbashi ama wapi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23]
 
Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....

NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
2a642f67799f8e7bdc75def3ec7781e6.jpg
Wewe ni zaidi ya Mchawi, ha ha ha ha.
 
Back
Top Bottom