Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why?kweli macho yanatofautiana sana
Why?
Walikua hawana sio!Siku hizi wana wazamini?
Ulikua hujui?Walikua hawana sio!
Nilikua sijui.. na wale unicef na qatarUlikua hujui?
Hiyo ilikuja baada ya kuisaliti "kuitupilia mbali" ile slogan ya "ni zaidi ya klabu" ndio maana hata unicef ilikua ni charity lakini lengo likiwa kuwaandaa kisaikolojia wana catalan ili likija dili la udhamini wapite nalo.Nilikua sijui.. na wale unicef na qatar
Kuisaliti nini sijakupataHiyo ilikuja baada ya kuisaliti "kuitupilia mbali" ile slogan ya "ni zaidi ya klabu" ndio maana hata unicef ilikua ni charity lakini lengo likiwa kuwaandaa kisaikolojia wana catalan ili likija dili la udhamini wapite nalo.
Kuisaliti nini sijakupata
Utapasua sikioMwanzo barca walikua wanaamini klabu yao ni ya kipekee kuliko nyingine, kwenye nembo yao kuna maneno yenye maana "ni zaidi ya klabu"(mes en club) kama sijakosea. Hivyo walikua hawanaga wadhamini kwani wao walikua wanaona kuvaa nembo ya mdhamini ni sawa na kumtangaza mdhamini kuliko klabu. Hapo vipi niongeze sauti?