Barcelona: Hizi ndizo Jezi Mpya za Barca Msimu Ujao!

IMG-20170529-WA0009.jpeg
 
Nilikua sijui.. na wale unicef na qatar
Hiyo ilikuja baada ya kuisaliti "kuitupilia mbali" ile slogan ya "ni zaidi ya klabu" ndio maana hata unicef ilikua ni charity lakini lengo likiwa kuwaandaa kisaikolojia wana catalan ili likija dili la udhamini wapite nalo.
 
Kuisaliti nini sijakupata
 
Mwanzo barca walikua wanaamini klabu yao ni ya kipekee kuliko nyingine, kwenye nembo yao kuna maneno yenye maana "ni zaidi ya klabu"(mes en club) kama sijakosea. Hivyo walikua hawanaga wadhamini kwani wao walikua wanaona kuvaa nembo ya mdhamini ni sawa na kumtangaza mdhamini kuliko klabu. Hapo vipi niongeze sauti?

Utapasua sikio
 
Back
Top Bottom