Barcelona kafia PSG

Barcelona kafia PSG

Mkuu wanasema tusiandikie mate wakati wino upo! Nafikri ni Jumanne au tano ijayo tutaona kwa macho yetu!!
Re match itakuwa kali sana japo Barcelona wanaonekana sio wale tuliowazoea..wanaweza manake Maajabu kama hayo wameshawahi kuyatenda.
 
Yaaani libaselona nalichukia kama nnavoichukia ccm....bora yamepigwa
 
Timu ikimuuza Cadabra inakuwa na harufu Ya UEFA inter 09' akachukua '10 barca '10 akachukua '11 ....his better gone and good having him
 
Hiyo si game ya kukosa itakuwa patashika nguo kuchanika.
hakuna mechi tena hapo..
bila ushabiki.. Barca kaaga mashindano..! bora hata angepigwa 5-1 kuliko 4-0..

Usibirini atakaye kutana na PSG next stage
 
Hujui philosophy ya mpira kiongozi,, wewe jikalie tu!
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sijui...ehee embu niambie hapa unatumia philosophy ipi ama barca mtatumia philosophy ipi kuwafunga PSG ya akina matuidi akina veratti magoli matano KWA SIFURI [emoji23][emoji23][emoji23] acheni ushabiki
 
Nilisema mapema jana kuhusiana na uwakala wa barca kwa kanji
 
Nakule wanakula 3-0 kama walivyofanyagwa na bayern
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sijui...ehee embu niambie hapa unatumia philosophy ipi ama barca mtatumia philosophy ipi kuwafunga PSG ya akina matuidi akina veratti magoli matano KWA SIFURI [emoji23][emoji23][emoji23] acheni ushabiki
Thiago Silva akiwemo Barca wataombapooo
 
Back
Top Bottom