Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mkuu wanasema tusiandikie mate wakati wino upo! Nafikri ni Jumanne au tano ijayo tutaona kwa macho yetu!!sio kwa Midfielders hao wa PSG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wanasema tusiandikie mate wakati wino upo! Nafikri ni Jumanne au tano ijayo tutaona kwa macho yetu!!sio kwa Midfielders hao wa PSG
Re match itakuwa kali sana japo Barcelona wanaonekana sio wale tuliowazoea..wanaweza manake Maajabu kama hayo wameshawahi kuyatenda.Mkuu wanasema tusiandikie mate wakati wino upo! Nafikri ni Jumanne au tano ijayo tutaona kwa macho yetu!!
Lugha hii inatumika pale ambapo barca asiyetarajiwa kufungwa easy anakubali kipigo kikaliMkuu hii lugha ya soka ama ya PSG?
Kwani uwanja wa camp nou na wa psg vina tofauti gani....vyote si viwanja tu??PSG wakienda Camp Nou wanapigwa 5-0!
hakuna mechi tena hapo..Hiyo si game ya kukosa itakuwa patashika nguo kuchanika.
Hujui philosophy ya mpira kiongozi,, wewe jikalie tu!Kwani uwanja wa camp nou na wa psg vina tofauti gani....vyote si viwanja tu??
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sijui...ehee embu niambie hapa unatumia philosophy ipi ama barca mtatumia philosophy ipi kuwafunga PSG ya akina matuidi akina veratti magoli matano KWA SIFURI [emoji23][emoji23][emoji23] acheni ushabikiHujui philosophy ya mpira kiongozi,, wewe jikalie tu!
uingereza ni mwendo wa kuvunjwa tu...gabriel jesus tayariMan city wanaweza wakamchukua aje England tumvunje miguu
Thiago Silva akiwemo Barca wataombapooo[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sijui...ehee embu niambie hapa unatumia philosophy ipi ama barca mtatumia philosophy ipi kuwafunga PSG ya akina matuidi akina veratti magoli matano KWA SIFURI [emoji23][emoji23][emoji23] acheni ushabiki
Barca ameisha kwa hiyo uwakala unamfaaNilisema mapema jana kuhusiana na uwakala wa barca kwa kanji
Unachezea timu gani huko?sijawahi sikia mmbongo anacheza ligi hiyo.Man city wanaweza wakamchukua aje England tumvunje miguu