Unasemaje,Akienda man city basi tena man u kwishney
Je akihamia Namungo Fc ?Yeah mi pia nimetokea kuipenda kwa ujio wa king Messi...siku akihama basi nahama nae.
Je akihamia Namungo Fc ?
Akiozea hapo akanuka watamla?hizi habari mnazitolea wapi, Barcelona wanataka kumpa Messi contract for lifeView attachment 1202078
For life
Akiozea hapo akanuka watamla?
Kuna habari zinazosema kuwa messi kulingana na mkataba alo sign na barca anaruhusiwa kuondoka mwishoni mwa msimu wowote bure.Lionel Messi ataruhusiwa kuondoka Barcelona bila malipo yoyote msimu ujao , iwapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 atapendelea kufanya hivyo kutokana na kifungu cha sheria katika kandarasi yake. (El Pais, via L'Equipe)
Messi ataruhusiwa kuzungumzia hatma yake na klabu yoyote kutoka Januari mosi.
View attachment 1200631