Barcelona kumruhusu Messi kuondoka

Barcelona kumruhusu Messi kuondoka

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Lionel Messi ataruhusiwa kuondoka Barcelona bila malipo yoyote msimu ujao , iwapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 atapendelea kufanya hivyo kutokana na kifungu cha sheria katika kandarasi yake. (El Pais, via L'Equipe)

Messi ataruhusiwa kuzungumzia hatma yake na klabu yoyote kutoka Januari mosi.

_108651144_messi10.jpeg
 
Wanajifanya hawauoni huu uzi
Njooni huku Messi anaruhusiwa kuondoka Barca
 
unakurupuka tu umesoma taarifa vibaya unakuja kutulisha matango poli apa
rudi kasome vizri iyo tarifa mzee..[emoji23][emoji23]
 
Lionel Messi ataruhusiwa kuondoka Barcelona bila malipo yoyote msimu ujao , iwapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 atapendelea kufanya hivyo kutokana na kifungu cha sheria katika kandarasi yake. (El Pais, via L'Equipe)

Messi ataruhusiwa kuzungumzia hatma yake na klabu yoyote kutoka Januari mosi.

View attachment 1200631
Kuna habari zinazosema kuwa messi kulingana na mkataba alo sign na barca anaruhusiwa kuondoka mwishoni mwa msimu wowote bure.
Ht mwakan ht mwaka jana angetaka angeondoka ila ni nje na bara la ulaya asihame team nyingine ndan ya European leagues bali nje na hapo.
Mathalan km alivyofanya Iniesta.
 
Back
Top Bottom