Kumekua na taarifa nyingi Mitandaoni juu ya hawa miamba wa Catalan juu ya kutaka kuziba nafasi ya genius wa Mpira Neymar Jr alietimkia PSG...
Hii ni ndoto ya mchana kweupe tena saa sita jua la utosi...
Wachezaji wanaotajwa kwenda kumrithi fundi huyu ni Coutinho, Ousmane Dembele, Dybala na hata Griezman....
Wote tajwa hapo juu hawataweza kuziba nafasi ya Jr
Pengo la mchezaji wa kariba yake halizibwi...
Waulize Spurs kuhusu Pengo la Bale, Man U na Ronaldo...
Mkuu yule Neymar ni hatari mno Pengo lake unaliziba na CR7 na Messi tu..mkuu habari kama hizi wao hawapendi kuzisikia, hasa watu kama ''mwekundu'', pnc, segio5,
wao wana ''false hope'' eti neymar uzibe kwa ousamane dembele??????????? tuweni serious wadau wale qatar kutoa pound 198m sio wajinga.
neymar ni kivutio tena fundi

Barca wameshachanganyikiwa, nasikia wanamtaka Giroud kwa pound mil 70???
Pogba wa tz nchi imekushinda!
HahahaahaBarca wameshachanganyikiwa, nasikia wanamtaka Giroud kwa pound mil 70???
Pogba wa tz nchi imekushinda!
We jamaa local kweli lisizibike yy nan pengo impossible kuzibika ni la LEO MESSIKumekua na taarifa nyingi Mitandaoni juu ya hawa miamba wa Catalan juu ya kutaka kuziba nafasi ya genius wa Mpira Neymar Jr alietimkia PSG...
Hii ni ndoto ya mchana kweupe tena saa sita jua la utosi...
Wachezaji wanaotajwa kwenda kumrithi fundi huyu ni Coutinho, Ousmane Dembele, Dybala na hata Griezman....
Wote tajwa hapo juu hawataweza kuziba nafasi ya Jr
Pengo la mchezaji wa kariba yake halizibwi...
Waulize Spurs kuhusu Pengo la Bale, Man U na Ronaldo...
Cr7 wap tupa kuleMkuu yule Neymar ni hatari mno Pengo lake unaliziba na CR7 na Messi tu..
Huu ndo ukweli wa timu ya Barcelona
Timu hii inatamba kwenye soka kwa muda mrefu kwa sababu ya mtu mmoja tu, LIONEL MESSI. Messi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani, na haijalishi anacheza na nani.
Alicheza na Deco, Etoo pamoja na Ronaldinho akatwaa ligi ya mabingwa ulaya 2006.
Alicheza na Henry, Etoo pamoja na Pedro akatwaa UEFA 2009.
Alicheza na David Villa na Pedro akatwaa UEFA 2011.
Alicheza na Neymar na Suarez akatwaa UEFA 2015.
Uchezaji wa Neymar unaifanya Barcelona kua dhaifu, wapiga kazi kama Paulo Dybala au Ousmane Dembele ndo wanahitajika pale ili kuifanya timu kua more balanced. Hata Sanchez au Pedro mmojawapo akirudi pale Barca itatisha zaidi kuliko ambavyo kua na Neymar
Naomba mods wafunge thread baada ya hii post murua kabisaaaaUnamfahamu Ronaldinho Gaucho?
Alicheza Barcelona, akaondoka Barcelona ikabaki kua moja ya timu bora kabisa katika historia ya mpira wa miguu.
Labda tu nieleze kidogo.
Katika mpira wa miguu, huwezi kumreplace world class player yeyote!
Ni nani alieweza kumreplace Ronaldo De Lima?
Nani kamreplace Zinedine Zidane?
Nani kamreplace Xavi Hernandez?
Jibu ni hakuna.
In football, we don't seek to replace players. Mpira wa miguu unamifumo mingi ambayo hubadilika kutokana na hali iliyopo.
Neymar ni mmoja kati ya vipaji vikubwa katika ulimwengu wa soka. Lakini kuondoka kwake sio mwisho wa barca kushinda makombe.
Aliondoka Xavi, lakini barca ikashinda treble.
Kwenye Mpira, mfumo ambao timu inautumia ndio msingi mkuu na sio mchezaji mmoja mmoja.
- KANA -
Mungu amekupa upeo mkubwa sana MkuuHuu ndo ukweli wa timu ya Barcelona