Barcelona na ndoto za mchana

Barcelona na ndoto za mchana

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
481
Kumekua na taarifa nyingi Mitandaoni juu ya hawa miamba wa Catalan juu ya kutaka kuziba nafasi ya genius wa Mpira Neymar Jr alietimkia PSG...

Hii ni ndoto ya mchana kweupe tena saa sita jua la utosi...
Wachezaji wanaotajwa kwenda kumrithi fundi huyu ni Coutinho, Ousmane Dembele, Dybala na hata Griezman....

Wote tajwa hapo juu hawataweza kuziba nafasi ya Jr
Pengo la mchezaji wa kariba yake halizibwi...

Waulize Spurs kuhusu Pengo la Bale, Man U na Ronaldo...
 
mkuu habari kama hizi wao hawapendi kuzisikia, hasa watu kama ''mwekundu'', pnc, segio5,
wao wana ''false hope'' eti neymar uzibe kwa ousamane dembele??????????? tuweni serious wadau wale qatar kutoa pound 198m sio wajinga.
neymar ni kivutio tena fundi
 
Mkuu yule Neymar ni hatari mno Pengo lake unaliziba na CR7 na Messi tu..
 
Barca wameshachanganyikiwa, nasikia wanamtaka Giroud kwa pound mil 70???

Pogba wa tz nchi imekushinda!

Hahahaaha
 
Unamfahamu Ronaldinho Gaucho?

Alicheza Barcelona, akaondoka Barcelona ikabaki kua moja ya timu bora kabisa katika historia ya mpira wa miguu.

Labda tu nieleze kidogo.

Katika mpira wa miguu, huwezi kumreplace world class player yeyote!

Ni nani alieweza kumreplace Ronaldo De Lima?
Nani kamreplace Zinedine Zidane?
Nani kamreplace Xavi Hernandez?

Jibu ni hakuna.

In football, we don't seek to replace players. Mpira wa miguu unamifumo mingi ambayo hubadilika kutokana na hali iliyopo.

Neymar ni mmoja kati ya vipaji vikubwa katika ulimwengu wa soka. Lakini kuondoka kwake sio mwisho wa barca kushinda makombe.

Aliondoka Xavi, lakini barca ikashinda treble.

Kwenye Mpira, mfumo ambao timu inautumia ndio msingi mkuu na sio mchezaji mmoja mmoja.

- KANA -
 
Huu ndo ukweli wa timu ya Barcelona
Timu hii inatamba kwenye soka kwa muda mrefu kwa sababu ya mtu mmoja tu, LIONEL MESSI. Messi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani, na haijalishi anacheza na nani.
Alicheza na Deco, Etoo pamoja na Ronaldinho akatwaa ligi ya mabingwa ulaya 2006.
Alicheza na Henry, Etoo pamoja na Pedro akatwaa UEFA 2009.
Alicheza na David Villa na Pedro akatwaa UEFA 2011.
Alicheza na Neymar na Suarez akatwaa UEFA 2015.
Uchezaji wa Neymar unaifanya Barcelona kua dhaifu, wapiga kazi kama Paulo Dybala au Ousmane Dembele ndo wanahitajika pale ili kuifanya timu kua more balanced. Hata Sanchez au Pedro mmojawapo akirudi pale Barca itatisha zaidi kuliko ambavyo kua na Neymar
 
Kumekua na taarifa nyingi Mitandaoni juu ya hawa miamba wa Catalan juu ya kutaka kuziba nafasi ya genius wa Mpira Neymar Jr alietimkia PSG...

Hii ni ndoto ya mchana kweupe tena saa sita jua la utosi...
Wachezaji wanaotajwa kwenda kumrithi fundi huyu ni Coutinho, Ousmane Dembele, Dybala na hata Griezman....

Wote tajwa hapo juu hawataweza kuziba nafasi ya Jr
Pengo la mchezaji wa kariba yake halizibwi...

Waulize Spurs kuhusu Pengo la Bale, Man U na Ronaldo...
We jamaa local kweli lisizibike yy nan pengo impossible kuzibika ni la LEO MESSI
 
Barca wamevuta mpunga wa kusajili, Coutinho....
Na Dyabala + Dembele na chenji ina baki....

Kama umefuatilia leo...Coutinho hajacheza mechi ya leo.... J3 ana tangazwa Barca...
Achana na sabb za Liverpool eti ana maumivu ya mgongo hapana!! Dogo anamalizia makubaliano na kumcheki Afya, nk.

J3 au J4 ndani ya Barca

JPM KAMATA WEZI
 
Mtoa thread mpuuzi kweli yaani Dinho, etoo, Henry, Rivaldo, sanchez, De lima, Figo wote walikuwa Barca na wakaondoka na Barca imesimama kama Timu Bora kabisa kuwahi kutokea leo Neymar aiathiri Barca? Mtoa thread kajifikrie tena maana una matatizo ya akili
 
mmmh tokea lini watanzania tukajua mambo ya wazungu? IQ zetu fupi sana . utashangaa ukaona Barca bora tu............ Mambo wapange Barca we ujifanye kujua kama si kupoteza muda tu, We subiria muda ufike ushangilie mpira na ndio kipaji chako si kuingilia mambo ya board ya Barca.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaujua mpira, ni wachache sana watakuelewa...lakini waosha vinywa watakuandama kwa kejeli...
Huu ndo ukweli wa timu ya Barcelona
Timu hii inatamba kwenye soka kwa muda mrefu kwa sababu ya mtu mmoja tu, LIONEL MESSI. Messi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani, na haijalishi anacheza na nani.
Alicheza na Deco, Etoo pamoja na Ronaldinho akatwaa ligi ya mabingwa ulaya 2006.
Alicheza na Henry, Etoo pamoja na Pedro akatwaa UEFA 2009.
Alicheza na David Villa na Pedro akatwaa UEFA 2011.
Alicheza na Neymar na Suarez akatwaa UEFA 2015.
Uchezaji wa Neymar unaifanya Barcelona kua dhaifu, wapiga kazi kama Paulo Dybala au Ousmane Dembele ndo wanahitajika pale ili kuifanya timu kua more balanced. Hata Sanchez au Pedro mmojawapo akirudi pale Barca itatisha zaidi kuliko ambavyo kua na Neymar
 
Unamfahamu Ronaldinho Gaucho?

Alicheza Barcelona, akaondoka Barcelona ikabaki kua moja ya timu bora kabisa katika historia ya mpira wa miguu.

Labda tu nieleze kidogo.

Katika mpira wa miguu, huwezi kumreplace world class player yeyote!

Ni nani alieweza kumreplace Ronaldo De Lima?
Nani kamreplace Zinedine Zidane?
Nani kamreplace Xavi Hernandez?

Jibu ni hakuna.

In football, we don't seek to replace players. Mpira wa miguu unamifumo mingi ambayo hubadilika kutokana na hali iliyopo.

Neymar ni mmoja kati ya vipaji vikubwa katika ulimwengu wa soka. Lakini kuondoka kwake sio mwisho wa barca kushinda makombe.

Aliondoka Xavi, lakini barca ikashinda treble.

Kwenye Mpira, mfumo ambao timu inautumia ndio msingi mkuu na sio mchezaji mmoja mmoja.

- KANA -
Naomba mods wafunge thread baada ya hii post murua kabisaaaa
 
Huu ndo ukweli wa timu ya Barcelona
Timu hii inatamba kwenye soka kwa muda mrefu kwa sababu ya mtu mmoja tu, LIONEL MESSI. Messi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani, na haijalishi anacheza na nani.
Alicheza na Deco, Etoo pamoja na Ronaldinho akatwaa ligi ya mabingwa ulaya 2006.
Alicheza na Henry, Etoo pamoja na Pedro akatwaa UEFA 2009.
Alicheza na David Villa na Pedro akatwaa UEFA 2011.
Alicheza na Neymar na Suarez akatwaa UEFA 2015.
Uchezaji wa Neymar unaifanya Barcelona kua dhaifu, wapiga kazi kama Paulo Dybala au Ousmane Dembele ndo wanahitajika pale ili kuifanya timu kua more balanced. Hata Sanchez au Pedro mmojawapo akirudi pale Barca itatisha zaidi kuliko ambavyo kua na Neymar
Mungu amekupa upeo mkubwa sana Mkuu
 
Back
Top Bottom