Barcelona na ndoto za mchana

Barcelona na ndoto za mchana

Barca wamevuta mpunga wa kusajili, Coutinho....
Na Dyabala + Dembele na chenji ina baki....

Kama umefuatilia leo...Coutinho hajacheza mechi ya leo.... J3 ana tangazwa Barca...
Achana na sabb za Liverpool eti ana maumivu ya mgongo hapana!! Dogo anamalizia makubaliano na kumcheki Afya, nk.

J3 au J4 ndani ya Barca

JPM KAMATA WEZI
Umeanza vizuuuri ila huki kibwagizo cha mwisho ndo umechafua.
 
Mtoa thread mpuuzi kweli yaani Dinho, etoo, Henry, Rivaldo, sanchez, De lima, Figo wote walikuwa Barca na wakaondoka na Barca imesimama kama Timu Bora kabisa kuwahi kutokea leo Neymar aiathiri Barca? Mtoa thread kajifikrie tena maana una matatizo ya akili
Mtoa mada ana akili za kibashite.
 
Umeanza vizuuuri ila huki kibwagizo cha mwisho ndo umechafua.
Ha ha ha hiyo Signature au?

Ila nimesoma The mirror, The Sun, Goal.com, 90.com, nk yote ya UK jamaa kina eleweka this week.

JPM KAMATA WEZI
 
Unamfahamu Ronaldinho Gaucho?

Alicheza Barcelona, akaondoka Barcelona ikabaki kua moja ya timu bora kabisa katika historia ya mpira wa miguu.

Labda tu nieleze kidogo.

Katika mpira wa miguu, huwezi kumreplace world class player yeyote!

Ni nani alieweza kumreplace Ronaldo De Lima?
Nani kamreplace Zinedine Zidane?
Nani kamreplace Xavi Hernandez?

Jibu ni hakuna.

In football, we don't seek to replace players. Mpira wa miguu unamifumo mingi ambayo hubadilika kutokana na hali iliyopo.

Neymar ni mmoja kati ya vipaji vikubwa katika ulimwengu wa soka. Lakini kuondoka kwake sio mwisho wa barca kushinda makombe.

Aliondoka Xavi, lakini barca ikashinda treble.

Kwenye Mpira, mfumo ambao timu inautumia ndio msingi mkuu na sio mchezaji mmoja mmoja.



- KANA -
Daah, nimeipenda hii
 
Mtoa thread mpuuzi kweli yaani Dinho, etoo, Henry, Rivaldo, sanchez, De lima, Figo wote walikuwa Barca na wakaondoka na Barca imesimama kama Timu Bora kabisa kuwahi kutokea leo Neymar aiathiri Barca? Mtoa thread kajifikrie tena maana una matatizo ya akili
Mkuu mbona povu niambie mataji waliyotwaa De Lima na Figo kwa nyakati zao tofauti walizokaa catalonia
 
Last season Neymar alikuwa chini ya kiwango..kafunga goli 12 kama kichuya(jokes)..jamaa alikuwa anaicost timu kama alivyopewa red card ya kijinga wakati kuna mechi ngumu..kasaulika Gaucho na Xavi..yeye ni nani
 
Huu ndo ukweli wa timu ya Barcelona
Timu hii inatamba kwenye soka kwa muda mrefu kwa sababu ya mtu mmoja tu, LIONEL MESSI. Messi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani, na haijalishi anacheza na nani.
Alicheza na Deco, Etoo pamoja na Ronaldinho akatwaa ligi ya mabingwa ulaya 2006.
Alicheza na Henry, Etoo pamoja na Pedro akatwaa UEFA 2009.
Alicheza na David Villa na Pedro akatwaa UEFA 2011.
Alicheza na Neymar na Suarez akatwaa UEFA 2015.
Uchezaji wa Neymar unaifanya Barcelona kua dhaifu, wapiga kazi kama Paulo Dybala au Ousmane Dembele ndo wanahitajika pale ili kuifanya timu kua more balanced. Hata Sanchez au Pedro mmojawapo akirudi pale Barca itatisha zaidi kuliko ambavyo kua na Neymar
Baada ya neymar kuondoka mnasema uchezaji wake unaifanya timu kuwa dhaifu aah
 
Limeshazibwa na Duleufue Jana na hatuna mpango wa kusajiri
 
Back
Top Bottom