Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kaishika?Nadhani ni mda wa pique kutuachia timu yetu.
Huo ni Ukahaba wa SokaNilikua chelsea nkaenda man city nilikua madrid nkaenda barca saivi nasubir kati ya liver au tot ataebeba uefa namfata.
Ndio mkuu huu ndio ukahaba kabisaHuo ni Ukahaba wa Soka
Hahahaaa.... mkuu sasa huu ni umalaya wa kimichezo.Nilikua chelsea nkaenda man city nilikua madrid nkaenda barca saivi nasubir kati ya liver au tot ataebeba uefa namfata.
Valencia wamelitwaa kombe kwa msimu huu.Hakuna mechi nyingine tena Hadi msimu ujao.Mi naona kuna kama upangaji matokeo kwa Barca.Naangalia mechi ya mwaka jana mechi ya 1 walifungwa 3-0 na Sevilla.Halafu mechi ya pili wakashinda 6-0.sasa hata valencia kuna namna wamefanya wanamwacha ashinde mechi ya pili utashangaa Barca anashinda 5-0.kama hali hii itaendelea bora warudiahe utaratibu wa awali wa kuwa na fainali 1 tu bila marudiano.
BANGI MBAYAMi naona kuna kama upangaji matokeo kwa Barca.Naangalia mechi ya mwaka jana mechi ya 1 walifungwa 3-0 na Sevilla.Halafu mechi ya pili wakashinda 6-0.sasa hata valencia kuna namna wamefanya wanamwacha ashinde mechi ya pili utashangaa Barca anashinda 5-0.kama hali hii itaendelea bora warudiahe utaratibu wa awali wa kuwa na fainali 1 tu bila marudiano.
Siku hizi Stone tangawizi zinalewesha maana sio kwa akili zakoMi naona kuna kama upangaji matokeo kwa Barca.Naangalia mechi ya mwaka jana mechi ya 1 walifungwa 3-0 na Sevilla.Halafu mechi ya pili wakashinda 6-0.sasa hata valencia kuna namna wamefanya wanamwacha ashinde mechi ya pili utashangaa Barca anashinda 5-0.kama hali hii itaendelea bora warudiahe utaratibu wa awali wa kuwa na fainali 1 tu bila marudiano.
Mkuu unajifanya unaakili wakati wewe popoma tu.sasa kama wewe unaakili kunizidi au usingetumia kilevi ungenielewesha kuliko kuniharass.Mwaka jana kuliko na fainali 2. Mwaka huu kumbe ni moja mjinga kama mimi nafaa kuelimishwa sio kunitukana.Siku hizi Stone tangawizi zinalewesha maana sio kwa akili zako
Mkuu ungenielewesha tu nadhani ingekuwa powa zaidi kuliko kukimbilia bangi usiilaumu bangi, bangi haina shida watu ndo wana shida.BANGI MBAYA
Haya mikedean nimekusoma fainali mbili zinapigwa Spain super Cup utazishuhudia team ni hizo hizo.mkuu unajifanya unaakili wakati wewe popoma tu.sasa kama wewe unaakili kunizidi au usingetumia kilevi ungenielewesha kuliko kuniharass.Mwaka jana kuliko na fainali 2.mwaka huu kumbe ni moja mjinga kama mimi nafaa kuelimishwa sio kunitukana.
Sawa nimekusomaMkuu ungenielewesha tu nadhani ingekuwa powa zaidi kuliko kukimbilia bangi usiilaumu bangi,bangi haina shida watu ndo wana shida.
mwaka jana niliangalia fainali 2.mwaka huu sikuangalia.Kuelimishana ni vema sana maana haya mambo ya mpira yanajaa maoni zaidi,hivyo mtu akikosea ni kumwelimisha.
Umeongea point broNkiangalia ukuta wa barca sioni mchezaji hata mmoja anaeweza kwenda Madrid akapata namba. Mafanikio ya mess yamesababisha uongozi ujisahau katika kuimarisha kikosi upande wa ukuta,imefikia sehm mpaka mchezaji anaetumia mguu mmoja tu lenglet amekua ndo bekwa kutegemea wa kati, kiungo Sergio Roberto eti ndo beki wa kutegemea wa kulia. Barca amekua akipigwa sana counter attack. Hata usajil wa sasa hv wanahangaika na grezman wakat wana tatizo kubwa kwenye ukuta. Barcelona ya sasa hv kuja kutisha tena labda arudi pep aanze kuisuka tena.
Sio utaninadhani ni mda wa pique kutuachia timu yetu.
Kwa kwelinadhani ni mda wa pique kutuachia timu yetu.
Lenglet miguu mizito hawezi kukimbiaUmtiti angewaokoa sema siku hizi mmembania. Pique anapenda kucheza na lenglet kuliko Umtiti.