nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
Barcelona ina matatizo makubwa mawili
1) Wachezaji ambao ndio tegemezi wote umri umeenda hakuna mwenye miaka chini ya 32, alba, suarez, sergio, messi na pidue
2) Wachezaji wengine wenye umri unaoruhusu ni wachezaji wenye viwango vya kawaida sana yaan ukiwapeleka kwenye timu zngne kubwa za Ulaya hawawezi kupata namba-yaan vidal ambae bayern hawakuwa na mahitaji naye ndo kaja kuwa mtu muhimu sana siku ile Barca inacheza na liverpool, kuna madogo km Sergio Roberto ni mzuri lakini C wa saizi ya barcelona kwakweli.
Timu inahitaji beki wa kulia, beki wa kati ataemrithi piki na umtiti anastahili kurudi kwe nafasi yake huyu lenglet hana consistency, timu inahitaji viungo wapya wenye nguvu hata wawili maana pale kati cku hizi barca imepoteza kabisa umiliki. Mbele kule wasajili mshambuliaji maana suarez keshachoka afu dembele bado hajawa na msaada kwa timu anahitaji mda zaidi.
Lazima barcelona ibadilike maana timu kubwa karibu zote ulaya, msimu ujao zitarudi vizuri kwa jinsi zilivyojpanga kusajili
Liverpool na Man City wako vizuri bila shaka watarudi vizuri. Juventus watarudi vzuri, bayern wanasajili, madrid wanajpanga kusajili vizuri.
Kwakweli niliumia sana cku ile tunapigwa nne na Liverpool daah heri washabiki wa timu zngne washazoea maumivu aisee ila sie barcelona hatujazoea kabisa haya mambo dah mpenzi wangu amelia mpk basi.