Barcelona tumeumizwa tena. Ukuta wetu ni mbovu!

Mi naona kuna kama upangaji matokeo kwa Barca. Naangalia mechi ya mwaka jana mechi ya 1 walifungwa 3-0 na Sevilla. Halafu mechi ya pili wakashinda 6-0.

Sasa hata valencia kuna namna wamefanya wanamwacha ashinde mechi ya pili utashangaa Barca anashinda 5-0.kama hali hii itaendelea bora warudiahe utaratibu wa awali wa kuwa na fainali 1 tu bila marudiano.
 
Valencia wamelitwaa kombe kwa msimu huu.Hakuna mechi nyingine tena Hadi msimu ujao.
 
BANGI MBAYA
 
Siku hizi Stone tangawizi zinalewesha maana sio kwa akili zako
 
Nyie wamatumbi nawadai goli tatu hapo camp nou, msidhani kuwa tulivyowafunga nne anfield ndio tumemalizana, nawataka next year nilipe deni hapo ndio urafiki urejee kama mwanzo.
 
Siku hizi Stone tangawizi zinalewesha maana sio kwa akili zako
Mkuu unajifanya unaakili wakati wewe popoma tu.sasa kama wewe unaakili kunizidi au usingetumia kilevi ungenielewesha kuliko kuniharass.Mwaka jana kuliko na fainali 2. Mwaka huu kumbe ni moja mjinga kama mimi nafaa kuelimishwa sio kunitukana.
 
BANGI MBAYA
Mkuu ungenielewesha tu nadhani ingekuwa powa zaidi kuliko kukimbilia bangi usiilaumu bangi, bangi haina shida watu ndo wana shida.
mwaka jana niliangalia fainali 2. Mwaka huu sikuangalia.Kuelimishana ni vema sana maana haya mambo ya mpira yanajaa maoni zaidi, hivyo mtu akikosea ni kumwelimisha.
 
mkuu unajifanya unaakili wakati wewe popoma tu.sasa kama wewe unaakili kunizidi au usingetumia kilevi ungenielewesha kuliko kuniharass.Mwaka jana kuliko na fainali 2.mwaka huu kumbe ni moja mjinga kama mimi nafaa kuelimishwa sio kunitukana.
Haya mikedean nimekusoma fainali mbili zinapigwa Spain super Cup utazishuhudia team ni hizo hizo.
 
Sawa nimekusoma
 
Umeongea point bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…