Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Mbona nyie mnawauzia wachezaji wenu : Nasri, Clichy, Adebayor, Toure ... ongeeeni nao vizuri tuu wanaweza kuwauzia.

Hela mnazomlipa Ozil mnaweza kumpa Kompany
rubaman
 
Last edited by a moderator:
Mbona nyie mnawauzia wachezaji wenu : Nasri, Clichy, Adebayor, Toure ... ongeeeni nao vizuri tuu wanaweza kuwauzia.

Hela mnazomlipa Ozil mnaweza kumpa Kompany
rubaman

hahahaha.. kati ya hao ni Nasri tu anayeonekana mzuri, wengine ni magarasa. Ozil bonge la kifaa kuliko yeyote anayevaa jezi ya AON anastahili pesa anazopata.
 
Ngangari hiyo partenership imefungwa 6 then 5 unasema iko ngangari?
Kompany anahitaji partner wa uhakika wa kucheza nae pale City kwa waliyoyafanya Lescot na Demicheles i hope City lazima watanunua new CB
 
Belo, naongelea overall. Partnership (CB) ipo poa nadhani kuliko partnership yoyote katika ligi angalia stats. Kama sikosei ni mechi mbili au tatu walizopoteza ambazo walicheza 90 minutes.
 
hahahaha.. kati ya hao ni Nasri tu anayeonekana mzuri, wengine ni magarasa. Ozil bonge la kifaa kuliko yeyote anayevaa jezi ya AON anastahili pesa anazopata.

Hivi nyie mnapomzungumzia huyo jamaa mnakuwa mnatania?????
 
Hivi nyie mnapomzungumzia huyo jamaa mnakuwa mnatania?????

No utani.. kuna siku mtamkubali.. Hata Ramsey baada ya kuwatolea nje mlikuwa mnasema ni mchovu, msimu huu mmemkubali. Nachosema subirini azoee mikemike ya EPL.
 
No utani.. kuna siku mtamkubali.. Hata Ramsey baada ya kuwatolea nje mlikuwa mnasema ni mchovu, msimu huu mmemkubali. Nachosema subirini azoee mikemike ya EPL.

Unamkumbuka Jose Antonio Reyes? EPL imempata Reyes mpya msimu huu
 
Unamkumbuka Jose Antonio Reyes? EPL imempata Reyes mpya msimu huu

Usimfananishe Ozil na mtoto wa mama Reyes. Reyes alikuwa kunguru, mtu gani anachimbiwa biti na Gary Neville afu anamlilia mama yake? Reyes alikuwa nyoronyoro kinoma ndo maana career yake imekupa upesi.
 
Mbona Flamini kuna watu anawachimbia mikwara uwanjani huwasemi
 
Mbona Flamini kuna watu anawachimbia mikwara uwanjani huwasemi

Uliwahi kusikia Gagarino, Kassongo Athuman, Ken Mkapa, Julius Mwakatika, Minziro, Kabunda, Kassanga,Masatu mmoja wao kuchimbiwa mkwara uwanjani? Wanaliochimbiwa mikwara walikuwa kina Sahau Kambi, Dua Said, Mohammed Hussein mmachinga, Lunyamila.. Flamini mtoto wa kihuni atakuwa katokea manzese ya Ufaransa, hachimbiwi mkwara na mtu Lol.
 
Marefa wa UEFA bana, ina maana haikuwa penati ile? Robben kapewa penati nyepesi jana afu hii Pique dhahiri kafanya faulo kwa Dzeko ndani ya 18 refa anapeta... Halafu kina Wenger wakisema watu wanakuja juu!

umeona mkuu arsenal kaonewa mech zake zte za ndan nje lakn babu kalalamika sana watu wakasema wenga analalamika cjui walitaka akae kimnya afu upande mwngne roben anazdi kuleta ujnga ujnga wake wa kujiangusha cjui analipwa....... Mambo mengne yanakela mpaka unaweza kulia sema ndo mpira ulivyo.....
 
Mbona Flamini kuna watu anawachimbia mikwara uwanjani huwasemi

hvi unajua gali bila injini haliendi. Hata kama ni zuli kiac gani haliwezi kwenda. Flamini ni injini pale gunez acpocheza lzma uingie kibnda umiza kwa mawazo xna. Yule ndo mfaransa alie komaa siyo kama akin evra au diaby wanaochuja xaxa hata miaka yake inamruhusu(32) bdo anatixa ukiludi nyuma bdo unamkuta henry,fabregas,song wote hawa wamehama arsenal lakn bdo wanatamani soka lao wamalizie pale gunez upo hapo.......
 
Belo, naongelea overall. Partnership (CB) ipo poa nadhani kuliko partnership yoyote katika ligi angalia stats. Kama sikosei ni mechi mbili au tatu walizopoteza ambazo walicheza 90 minutes.

What about Terry na Cahill? Iko poa kivipi kucheza mechi nyingi au clean sheet?
Mmefungwa na City,Liverpool,Stoke,Villa,vibonde ManUnited,Napoli,Dortmund,Bayern
 
oyeeeeeeeeeeeee
wapenzi wote wa barca nna raha isiyo kifani wish tupate nyama-choma na kitu bariiiidi dah!
raha raha

no matter what
barca forever fan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…