mwenemti
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 309
- 59
nan kama messi. jaman aah ?
suareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nan kama messi. jaman aah ?
Hii corner vip wadau mbona barca wanalalamika?
Sent from nokia Jeneza
Aaaa mkubwa hebu waombe radhi wanamichezo kwa kauli yako hii
Mbona nyie mnawauzia wachezaji wenu : Nasri, Clichy, Adebayor, Toure ... ongeeeni nao vizuri tuu wanaweza kuwauzia.
Hela mnazomlipa Ozil mnaweza kumpa Kompany
rubaman
Arsenal hawana pesa za kumlipa. Kama sikosei Kompany anaweza kuwa anapata kati ya 80K-90K kwa wiki, na kama akihama unajuwa atataka dau kubwa kuliko analolipwa City.. Afu unadhani partnership ya Kos na Per ipo ngangari kuliko partnership yoyote katika ligi... Nadhani UTD na Liver ndo wanahitaji mtu kama Kompany CB zenu zimechoka. Pia sioni City kumuuza Kompany ndani ya EPL.
hahahaha.. kati ya hao ni Nasri tu anayeonekana mzuri, wengine ni magarasa. Ozil bonge la kifaa kuliko yeyote anayevaa jezi ya AON anastahili pesa anazopata.
Hivi nyie mnapomzungumzia huyo jamaa mnakuwa mnatania?????
No utani.. kuna siku mtamkubali.. Hata Ramsey baada ya kuwatolea nje mlikuwa mnasema ni mchovu, msimu huu mmemkubali. Nachosema subirini azoee mikemike ya EPL.
Unamkumbuka Jose Antonio Reyes? EPL imempata Reyes mpya msimu huu
Usimfananishe Ozil na mtoto wa mama Reyes. Reyes alikuwa kunguru, mtu gani anachimbiwa biti na Gary Neville afu anamlilia mama yake? Reyes alikuwa nyoronyoro kinoma ndo maana career yake imekupa upesi.
Mbona Flamini kuna watu anawachimbia mikwara uwanjani huwasemi
utaki au jeuri tu.......!!
Marefa wa UEFA bana, ina maana haikuwa penati ile? Robben kapewa penati nyepesi jana afu hii Pique dhahiri kafanya faulo kwa Dzeko ndani ya 18 refa anapeta... Halafu kina Wenger wakisema watu wanakuja juu!
Mbona Flamini kuna watu anawachimbia mikwara uwanjani huwasemi
Belo, naongelea overall. Partnership (CB) ipo poa nadhani kuliko partnership yoyote katika ligi angalia stats. Kama sikosei ni mechi mbili au tatu walizopoteza ambazo walicheza 90 minutes.