Acha ubishi usiokuwa na maana! Takwimu zinaonyesha kwamba tangu march 2013 hadi march 2014, pair ya Mertsacker na Kos wamepoteza mech mbili, ya liver pamoja na Bayani kwa mechi ambazo wote wamecheza dakika 90 full!
Haya tupatie takwimu kwa Terry na Kahil kwa kipindi hicho hicho wamepoteza mechi ngapi wakicheza pamoja kwa full 90 minutes???
Hizo takwimu labda umezitengeneza wewe otherwise sidhani kama unakijua unachokiongea kuna mtu amekudanganya
Mpaka sasa msimu huu Chelsea wamefungwa mechi
7,EPL-3,UCL-2,FA-1,Capital One-1
CAPITAL ONE
Sunderland 2 Chelsea 1,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Luiz
FA CUP
Man City 2 Chelsea 0,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Luiz
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Chelsea 1 Basel 2 ,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Luiz
Basel 1 Chelsea 0 ,CB wa Chelsea walikuwa
Cahill na Terry
ENGLISH PREMIER LEAGUE
Everton 1 Chelsea 0,CB wa Chelsea walikuwa Terry na Luiz
Newcastle 2 Chelsea 0,CB wa Chelsea walikuwa Terry na Luiz
Stoke 3 Chelsea 2,CB wa Chelsea walikuwa
Cahill na Terry
Haya turudi kwa Arsenal,mpaka sasa wamefungwa mechi
9,EPL 5,UCL-3,Capital One-1
CAPITAL ONE
Chelsea 2 Arsenal 0,CB walikuwa Koscielny na Vermalen
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Arsenal 1 Dortmund 2,,CB walikuwa
Mertesacker na Koscielny
Napoli 2 Arsenal 0,CB walikuwa
Mertesacker na Koscielny
Arsenal 0 Bayern 2,CB walikuwa
Mertesacker na Koscielny
ENGLISH PREMIER LEAGUE
Aston Villa 3 Arsenal 1,CB walikuwa
Mertesacker na Koscielny(akapewa red card dk 66)
Man United 1 Arsenal 0,CB walikuwa Koscielny na Vermalen
Man City 6 Arsenal 3,CB walikuwa
Mertesacker na Koscielny( alitoka dk 42 akaingia Vermalein)
Liverpool 5 Arsenal 1,CB walikuwa
Mertesacker na Koscielny
Stoke 1 Arsenal 0,CB walikuwa
Mertesacker na Koscielny