Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

What about Terry na Cahill? Iko poa kivipi kucheza mechi nyingi au clean sheet?
Mmefungwa na City,Liverpool,Stoke,Villa,vibonde ManUnited,Napoli,Dortmund,Bayern

Stats zinaonyesha katika mechi Per na Kos walizocheza full 90 minutes wamefungwa chache, EPL. Arsenal vs Villa kos alipewa red card (dk 67), Arsenal vs Man utd Per hakucheza. Arsenal Vs City Kos aliumia na kutolewa (dk ya 42)...
 
Naona unakimbia swali la msingi ,hio pair ya hao vibonde inawazidi Terry na Cahill? Defence yenu msimu huu yule gk ndio amewaokoa sana kwani misimu iliyopita yeye ndio alikuwa anatoa magoli mengi ya sadaka
 
Acha ubishi usiokuwa na maana! Takwimu zinaonyesha kwamba tangu march 2013 hadi march 2014, pair ya Mertsacker na Kos wamepoteza mech mbili, ya liver pamoja na Bayani kwa mechi ambazo wote wamecheza dakika 90 full!
Haya tupatie takwimu kwa Terry na Kahil kwa kipindi hicho hicho wamepoteza mechi ngapi wakicheza pamoja kwa full 90 minutes???
 
Hizo takwimu labda umezitengeneza wewe otherwise sidhani kama unakijua unachokiongea kuna mtu amekudanganya

Mpaka sasa msimu huu Chelsea wamefungwa mechi 7,EPL-3,UCL-2,FA-1,Capital One-1

CAPITAL ONE

Sunderland 2 Chelsea 1,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Luiz

FA CUP

Man City 2 Chelsea 0,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Luiz

UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Chelsea 1 Basel 2 ,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Luiz
Basel 1 Chelsea 0 ,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Terry

ENGLISH PREMIER LEAGUE
Everton 1 Chelsea 0,CB wa Chelsea walikuwa Terry na Luiz
Newcastle 2 Chelsea 0,CB wa Chelsea walikuwa Terry na Luiz
Stoke 3 Chelsea 2,CB wa Chelsea walikuwa Cahill na Terry

Haya turudi kwa Arsenal,mpaka sasa wamefungwa mechi 9,EPL 5,UCL-3,Capital One-1

CAPITAL ONE
Chelsea 2 Arsenal 0,CB walikuwa Koscielny na Vermalen

UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Arsenal 1 Dortmund 2,,CB walikuwa Mertesacker na Koscielny
Napoli 2 Arsenal 0,CB walikuwa Mertesacker na Koscielny
Arsenal 0 Bayern 2,CB walikuwa Mertesacker na Koscielny

ENGLISH PREMIER LEAGUE
Aston Villa 3 Arsenal 1,CB walikuwa Mertesacker na Koscielny(akapewa red card dk 66)
Man United 1 Arsenal 0,CB walikuwa Koscielny na Vermalen
Man City 6 Arsenal 3,CB walikuwa Mertesacker na Koscielny( alitoka dk 42 akaingia Vermalein)
Liverpool 5 Arsenal 1,CB walikuwa Mertesacker na Koscielny
Stoke 1 Arsenal 0,CB walikuwa Mertesacker na Koscielny
 
Back
Top Bottom