Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Mpira umekwisha.
Barca 2 - Man City 1.
Messi Kompany
D. Alves
 
Ila mimi akitoka Bayern Munich nitafurahi sana.
 
Uefa ina watu wake , , underdog go back home mkajipange


"From tz with true luv"
 
Vicent Kompany, very nice, well spoken captain.
 
Jamaa ni bonge la beki .... Msajilini msimu ujao awasaidie

Arsenal hawana pesa za kumlipa. Kama sikosei Kompany anaweza kuwa anapata kati ya 80K-90K kwa wiki, na kama akihama unajuwa atataka dau kubwa kuliko analolipwa City.. Afu unadhani partnership ya Kos na Per ipo ngangari kuliko partnership yoyote katika ligi... Nadhani UTD na Liver ndo wanahitaji mtu kama Kompany CB zenu zimechoka. Pia sioni City kumuuza Kompany ndani ya EPL.
 
Back
Top Bottom