Barcelona vs Real Madrid

Barcelona vs Real Madrid

Mourinho leo kachezea kichapo kudadeki, at least this will keep him quiet kwa muda.
 
Wel done Josep Guardiola & Barca! Duh! huu mziki mnono!! Villa, Messi,Bojan, Puyol, Abidal ?? too good!
 
Apo ndo raha na chungu ya soka huanzia apo. Just Imagine ndo die hard fan wa Madrid! uzur wa soka ukilala ukiamka hasira zte kwishney...lol!
 
Apo ndo raha na chungu ya soka huanzia apo. Just Imagine ndo die hard fan wa Madrid! uzur wa soka ukilala ukiamka hasira zte kwishney...lol!

kipigo cha mbwa kama hiki hua hakiumizi sana manake unaona kabisa mmezidiwa kila kitu lol.
 
Nani alijua Mourinho atachezea kichapo cha mbwa mwizi uku akifundisha timu iliyoundwa kwa bei ghali?
 
Kwa mchezo huo jamaa wanapiga timu yoyote inayokatiza mbele yao! duuuhh! utafikiria walihonga hao Madread
 
Nani alijua Mourinho atachezea kichapo cha mbwa mwizi uku akifundisha timu iliyoundwa kwa bei ghali?

Mi nilijuwa atafungwa ila sikufahamu kama ni matano...hata wakirudiana, sanasana real wapunguze idadi ya magori, kufungwa lazima....
 
Mourhino hata goli la kufutia machozi?
Huyo Mourinho ndio aliharibu EPL na tactics zake za kupark basi, sasa naona timu zote ndogo zimeiga huo upuuzi. Lakini leo Madrid deserved the humiliation. Haya waungwna tuonane tena kesho/kutwa kwenye mechi za carling
 
Afadhali hiki kichapo kimnyamazishe domokaya mourinho mana anajiona yeye ndiye yeye kila kitu anakijua juu ya soka

shame on him!!!
 
barcelona Kama pamba ya mwanza enzi zao wana tupwisa lindanda wana wa kawekamo.
Teh teh teh.

Siku hizo hata soka letu la bongo lilikuwa tamu
 
2737558186-29112010211219.jpg
 
Mmh!, kwa kujipendelea wewe, lakini kweli mnafanana eeh!. Ila wenzenu wanafanya kweli.

lol kinachowasaidia wamekaa pamoja kwa mda mrefu sana wenger sisi kila siku anauza na kwenda kuokota wafaransa wenzake matokeo yake tunaanza upya. Arsenal tumeweka mbele biashara tunalipa madeni ya uwanja.
 
Back
Top Bottom