hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
jamaa walitaka kumvunja MESSI nomaaaa.
Mpira simchezo hata ndugu yako unavunja tu ukizidiwa.
Soccer is all very well as a game for rough girls, but is hardly suitable for delicate boys.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa walitaka kumvunja MESSI nomaaaa.
Mpira simchezo hata ndugu yako unavunja tu ukizidiwa.
Apo ndo raha na chungu ya soka huanzia apo. Just Imagine ndo die hard fan wa Madrid! uzur wa soka ukilala ukiamka hasira zte kwishney...lol!
Nani alijua Mourinho atachezea kichapo cha mbwa mwizi uku akifundisha timu iliyoundwa kwa bei ghali?
Mmh!, kwa kujipendelea wewe, lakini kweli mnafanana eeh!. Ila wenzenu wanafanya kweli.Hawa kaka zetu kiboko kwa beautiful game nomaaaa.utasema video game.
Huyo Mourinho ndio aliharibu EPL na tactics zake za kupark basi, sasa naona timu zote ndogo zimeiga huo upuuzi. Lakini leo Madrid deserved the humiliation. Haya waungwna tuonane tena kesho/kutwa kwenye mechi za carlingMourhino hata goli la kufutia machozi?
Mmh!, kwa kujipendelea wewe, lakini kweli mnafanana eeh!. Ila wenzenu wanafanya kweli.