Mwangalieni mpuuzi huyu jamani, tafadhali Mods mpigeni ban huyu nyau. Sasa wewe unakuja hapa kubisha ama kujifunza? Ni hivi, Messi alikuwepo Barca that time ila hakucheza ile fainali kwa sababu alikuwa kaumia goti.
Ni kweli hii inatokana na kipaumbele cha club...kama ilivyokuwa kwa Arsenal kuna kipindi ilibidi itumie makinda na kuwauza kwa bei kubwa ili kumaliza deni la uwanja wa Emirates kipaumbele chao kilikua ni kucheza tu Euefa...baada ya hapo ndo wakaanza kuingia sokoni...japo inachukua muda kurudi kwenye standard ya timu husika...check hata Juve kuna kipindi walikua wanachukua wachezaji kwa mikopo na bure kwa waliomaliza mikataba sahv wanaweza kucompete kwenye market na club yeyote wamekusanya fedha tayari...Kama hawa Ajax wangekuwa na financial muscles za kuwalinda wachezaji wao hawa, ingekuwa ni timu kubwa kwa kipindi cha miaka hii kumi.
Sema wao wanazalisha kwa ajili ya kuuza.
Baada ya Messi tuna maanisha hata baada ya mpira wake kwisha au kutundika daruga.Messi atafia Barcelona
Kwahiyo haji tokea mchezaji mwingine tena? Inasikitisha sana kweli jamaa ni mungu wenuBaada ya Messi tuna maanisha hata baada ya mpira wake kwisha au kutundika daruga.
Messi is the biggest thing to ever happen in football, let alone to Barcelona.
Football being a team game, the particular prized asset should be sorrounded with the right resources to harness it's uniqueness.
Kumbuka combination ya Messi, Xavi na Iniesta, hiyo ilikuwa ni combination ya maajabu. Baada ya puzzle hiyo kuisha, maajabu yameisha pia.
Barca wanajaribu sana kufanya sajili kadhaa kuiweka juu kimataifa, lakini bado inashindikana.
Nasubiri kuona baada ya Messi Barca itakuwaje, tayari tumeiona Madrid baada ya Ronaldo atleast msimu huu.
Siyo kwamba hatatokea....ila kwa maandalizi wanayofanya Barca inaonyesha watapitia kipindi kigumu after Messi...kumbuka wakati Ronaldinho anaishia kulikua na Messi au wakati anaishia Deco kulikua na Xavi...kwa sasa sioni maandalizi ya mrithi wa Messi...Suarez keshachoka sioni anayemrithi mpaka sasa....Kwahiyo haji tokea mchezaji mwingine tena? Inasikitisha sana kweli jamaa ni mungu wenu
Hakuna tena atakayetokea yaani kama mzee mengi tuKwahiyo haji tokea mchezaji mwingine tena? Inasikitisha sana kweli jamaa ni mungu wenu
Acha porojo za ovyo, Messi alikuwa akiwaona kina Ronaldinho na Deco wakinyanyasa watu Ulaya.
Bila ya shaka inawezekana bado ulikua mdogo sana kipindi hiko au Ulikua kijijini bado.
Lakini hakuwa key player kwenye timu.
Siyo kwamba hatatokea....ila kwa maandalizi wanayofanya Barca inaonyesha watapitia kipindi kigumu after Messi...kumbuka wakati Ronaldinho anaishia kulikua na Messi au wakati anaishia Deco kulikua na Xavi...kwa sasa sioni maandalizi ya mrithi wa Messi...Suarez keshachoka sioni anayemrithi mpaka sasa....
Kumbuka hata Milan unayoiona leo ni club kubwa sana Ulaya na duniani kimafanikio ina UCL 7nyuma ya Madrid lakini ilishindwa kuandaa mrithi wa Kaka...haikuandaa mrithi Sedorf...haikuandaa mrithi wa Pirlo wala wa Gatuso nk...ndo mana unaiona Milan ikisota leo...Hata hivyo ni maoni binafsi tu si sheria baba usiwaze sana.
Lete hoja unishinde si porojo tu. Kabla ya Messi kuja Barca....hiyo Barcelona ilikuwa na mataji mangapi ya kombe la Champions League na baada ya Messi kuja Barca imeshinda mataji mangapi? Tafuta jibu bila kujipiga vidole kwa haibu.
We nae, kwani messi ni uefa? Hebu tuanzie hapa mwaka 99/2000 wanapotoa orodha ya vilabu bora vya karne barcelona walikua wangapi? Je, barca ilikua mbovu kiasi hicho
Umaarufu upi we jiulize kama haikua maarufu nyuma ikawaje wawe watatu kwa ubora duniani wakiizidi ac milan, liverpool, ajaxSawa nimekusikia.....tufuate report yako na ya Uefa. Toka mwaka 1999 mpaka mwaka 2004, Barca walichukua makombe mangapi ya Ulaya? Jibu HAKUNA. Barca walianza kupata umaarufu zaidi kuanzia mwaka 2005 mpaka hivi sasa, kabla ya hapo ni ziro..
Sawa nimekusikia.....tufuate report yako na ya Uefa. Toka mwaka 1999 mpaka mwaka 2004, Barca walichukua makombe mangapi ya Ulaya? Jibu HAKUNA. Barca walianza kupata umaarufu zaidi kuanzia mwaka 2005 mpaka hivi sasa, kabla ya hapo ni ziro..
Ni kweli kwa sababu walikuwa na Ronaldinho ila Ronaldinho alikuwa ndiyo anaanza kufifia ndipo kinda Messi akapandishwa daraja kuchukua nafasi ya Ronaldinho.
Si Kweli labda kwa Suarez sawa ana tabia ya ku diveSiipendi Barcelona cos wachezaji wake wanacheza sana na Refa.....hasa zombie Suarez
Lete hoja unishinde si porojo tu. Kabla ya Messi kuja Barca....hiyo Barcelona ilikuwa na mataji mangapi ya kombe la Champions League na baada ya Messi kuja Barca imeshinda mataji mangapi? Tafuta jibu bila kujipiga vidole kwa haibu.
Mkuu ule wimbo wao ulikuwa unaimbwa na mashabiki muda wote, unatisha sana aisee!!! ulitosha kuwatia kiwewe barca mpk wakapoteanaumekuwa msemaji wa mashabiki wa liver tangu lini? binafsi niliamini barca pale anfield lazima afe.