Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Mwangalieni mpuuzi huyu jamani, tafadhali Mods mpigeni ban huyu nyau. Sasa wewe unakuja hapa kubisha ama kujifunza? Ni hivi, Messi alikuwepo Barca that time ila hakucheza ile fainali kwa sababu alikuwa kaumia goti.

Lakini hakuwa key player kwenye timu.
 
Kama hawa Ajax wangekuwa na financial muscles za kuwalinda wachezaji wao hawa, ingekuwa ni timu kubwa kwa kipindi cha miaka hii kumi.

Sema wao wanazalisha kwa ajili ya kuuza.
Ni kweli hii inatokana na kipaumbele cha club...kama ilivyokuwa kwa Arsenal kuna kipindi ilibidi itumie makinda na kuwauza kwa bei kubwa ili kumaliza deni la uwanja wa Emirates kipaumbele chao kilikua ni kucheza tu Euefa...baada ya hapo ndo wakaanza kuingia sokoni...japo inachukua muda kurudi kwenye standard ya timu husika...check hata Juve kuna kipindi walikua wanachukua wachezaji kwa mikopo na bure kwa waliomaliza mikataba sahv wanaweza kucompete kwenye market na club yeyote wamekusanya fedha tayari...
 
Chakujiuliza why inashindikana? Ilhali kuna the so called biggest thing to ever happen in football, ina maana since 2015 barcelona walikua viazi wakitolewa uefa na atletico, juve, roma tuiache liver, messi ana kipaji hatukatai ila kumfanya kua ni hatari zaiiidi hilo sitakagi kulikubali bila hoja kuntu mkuu,
Ukiangalia quality_wise ya vikosi vilivyo mfurusha barca currently ni ama liver na juve ndo walikua strong kidogo,
Je, 2016 atletico alimzidi kipi barca hadi akamtoa, je roma last year alikua na kipi cha kumtoa Goat messi na barca yake?
Nitarajie hoja kuntu kutoka kwako mkuu
Messi is the biggest thing to ever happen in football, let alone to Barcelona.

Football being a team game, the particular prized asset should be sorrounded with the right resources to harness it's uniqueness.

Kumbuka combination ya Messi, Xavi na Iniesta, hiyo ilikuwa ni combination ya maajabu. Baada ya puzzle hiyo kuisha, maajabu yameisha pia.

Barca wanajaribu sana kufanya sajili kadhaa kuiweka juu kimataifa, lakini bado inashindikana.

Nasubiri kuona baada ya Messi Barca itakuwaje, tayari tumeiona Madrid baada ya Ronaldo atleast msimu huu.
 
Kwahiyo haji tokea mchezaji mwingine tena? Inasikitisha sana kweli jamaa ni mungu wenu
Siyo kwamba hatatokea....ila kwa maandalizi wanayofanya Barca inaonyesha watapitia kipindi kigumu after Messi...kumbuka wakati Ronaldinho anaishia kulikua na Messi au wakati anaishia Deco kulikua na Xavi...kwa sasa sioni maandalizi ya mrithi wa Messi...Suarez keshachoka sioni anayemrithi mpaka sasa....
Kumbuka hata Milan unayoiona leo ni club kubwa sana Ulaya na duniani kimafanikio ina UCL 7nyuma ya Madrid lakini ilishindwa kuandaa mrithi wa Kaka...haikuandaa mrithi Sedorf...haikuandaa mrithi wa Pirlo wala wa Gatuso nk...ndo mana unaiona Milan ikisota leo...Hata hivyo ni maoni binafsi tu si sheria baba usiwaze sana.
 
Siipendi Barcelona cos wachezaji wake wanacheza sana na Refa.....hasa zombie Suarez
 
Acha porojo za ovyo, Messi alikuwa akiwaona kina Ronaldinho na Deco wakinyanyasa watu Ulaya.

Kwa akili yako, Ronaldinho na Deco walifanya nini la maana pale Barca kabla ya Messi kuja? Barca walikuwa na mataji mangapi ya kombe la Ulaya?
 
Bila ya shaka inawezekana bado ulikua mdogo sana kipindi hiko au Ulikua kijijini bado.

Lete hoja unishinde si porojo tu. Kabla ya Messi kuja Barca....hiyo Barcelona ilikuwa na mataji mangapi ya kombe la Champions League na baada ya Messi kuja Barca imeshinda mataji mangapi? Tafuta jibu bila kujipiga vidole kwa haibu.
 
Kwani madrid ya kina gento, di stefano na ferenc puskas imewahi kujirudia tena? Je madrid imeshindwa kutawala tena soka la ulaya baada ya kina puskas kuondoka na miujiza yao?, hakuna mchezaji wa kuziba pengo la mchezaji maarufu hakuna ila kisiwe kigezo cha kudhani fulani akiondoka na klabu au soka ndo limekwisha. Hapo ndo mnayumba nyie messi fans
Siyo kwamba hatatokea....ila kwa maandalizi wanayofanya Barca inaonyesha watapitia kipindi kigumu after Messi...kumbuka wakati Ronaldinho anaishia kulikua na Messi au wakati anaishia Deco kulikua na Xavi...kwa sasa sioni maandalizi ya mrithi wa Messi...Suarez keshachoka sioni anayemrithi mpaka sasa....
Kumbuka hata Milan unayoiona leo ni club kubwa sana Ulaya na duniani kimafanikio ina UCL 7nyuma ya Madrid lakini ilishindwa kuandaa mrithi wa Kaka...haikuandaa mrithi Sedorf...haikuandaa mrithi wa Pirlo wala wa Gatuso nk...ndo mana unaiona Milan ikisota leo...Hata hivyo ni maoni binafsi tu si sheria baba usiwaze sana.
 
We nae, kwani messi ni uefa? Hebu tuanzie hapa mwaka 99/2000 wanapotoa orodha ya vilabu bora vya karne barcelona walikua wangapi? Je, barca ilikua mbovu kiasi hicho
Lete hoja unishinde si porojo tu. Kabla ya Messi kuja Barca....hiyo Barcelona ilikuwa na mataji mangapi ya kombe la Champions League na baada ya Messi kuja Barca imeshinda mataji mangapi? Tafuta jibu bila kujipiga vidole kwa haibu.
 
We nae, kwani messi ni uefa? Hebu tuanzie hapa mwaka 99/2000 wanapotoa orodha ya vilabu bora vya karne barcelona walikua wangapi? Je, barca ilikua mbovu kiasi hicho

Sawa nimekusikia.....tufuate report yako na ya Uefa. Toka mwaka 1999 mpaka mwaka 2004, Barca walichukua makombe mangapi ya Ulaya? Jibu HAKUNA. Barca walianza kupata umaarufu zaidi kuanzia mwaka 2005 mpaka hivi sasa, kabla ya hapo ni ziro..
 
Umaarufu upi we jiulize kama haikua maarufu nyuma ikawaje wawe watatu kwa ubora duniani wakiizidi ac milan, liverpool, ajax
 
Ukiongelea uefa basi kwa milenia hii timu bora kabisa duniani ni madrid wakiwa na ucl 6 jambo ambalo napinga kwani kuanzia 2000 timu bora ni barcelona, sasa sijui kwa hili unasemaje maana ubora wa timu haupimwi tu kwa uefa ligi.
Sawa nimekusikia.....tufuate report yako na ya Uefa. Toka mwaka 1999 mpaka mwaka 2004, Barca walichukua makombe mangapi ya Ulaya? Jibu HAKUNA. Barca walianza kupata umaarufu zaidi kuanzia mwaka 2005 mpaka hivi sasa, kabla ya hapo ni ziro..
 
Lete hoja unishinde si porojo tu. Kabla ya Messi kuja Barca....hiyo Barcelona ilikuwa na mataji mangapi ya kombe la Champions League na baada ya Messi kuja Barca imeshinda mataji mangapi? Tafuta jibu bila kujipiga vidole kwa haibu.

Kwanza usitake kutuaminisha kua mafanikio ya Barca yanatokana messi tu. Xavi na Iniesta wamplay key role kwenye yale mafanikio. Na nakupa chalenge Messi will never win Champion League again without Xavi and Iniesta unless Barca wa invest alot in new stars.

Lapili since 2015 tunamaliza msimu wa 4 huu Barca haijafika ndani ya Champion League Final , Yuko wapi huyo Messi wako mkuu?
Mataji yanashindwa na timu nasio mchezaji mmoja. Kama mchezaji mmoja anatosheleza kushindisha timu mataji mbona huyo messi amekua akistraggle for the last 15 years with Argentina?

Na Barca was big deal even before hata huyo Messi Hajazaliwa.hao kina Ronaldinho, Ronaldo, Figo, Maradonna, Romario, Cruyff, Rivaldo wote walipita Barca kwa kuwa ilikua ni moja timu Kubwa na Yenye heshima Barani Ulaya.

ILa nafahamu ni ngumusana kufahamu wewe 2000's Boy
 
umekuwa msemaji wa mashabiki wa liver tangu lini? binafsi niliamini barca pale anfield lazima afe.
Mkuu ule wimbo wao ulikuwa unaimbwa na mashabiki muda wote, unatisha sana aisee!!! ulitosha kuwatia kiwewe barca mpk wakapoteana

Kama unaujua niimbie japo kidogo
 
Back
Top Bottom