Messi is the biggest thing to ever happen in football, let alone to Barcelona.
Football being a team game, the particular prized asset should be sorrounded with the right resources to harness it's uniqueness.
Kumbuka combination ya Messi, Xavi na Iniesta, hiyo ilikuwa ni combination ya maajabu. Baada ya puzzle hiyo kuisha, maajabu yameisha pia.
Barca wanajaribu sana kufanya sajili kadhaa kuiweka juu kimataifa, lakini bado inashindikana.
Nasubiri kuona baada ya Messi Barca itakuwaje, tayari tumeiona Madrid baada ya Ronaldo atleast msimu huu.