Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Zote ni halali na magoli ni halali. Ina maana Suarez na Neymar hawakuangushwa eneo la hatari? Kuwa mkweli
Neema kajigonga kwenye goti la beti Square kajisukuma sio penalty zile ila basi matokeo tayari hakuna mapinduzi
 
Zote ni halali na magoli ni halali. Ina maana Suarez na Neymar hawakuangushwa eneo la hatari? Kuwa mkweli
Nakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!

Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!

Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki

Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi
 
Mkuu,kwani yule refarii ni Mhispania? Taratibu mkuu,acha wivu. EPL ni ligi ya rugby. Mmefungwa 10-2
 

 
Mkuu,kwani yule refarii ni Mhispania? Taratibu mkuu,acha wivu. EPL ni ligi ya rugby. Mmefungwa 10-2
Siwezi Kuonea Wivu timu ambayo hainiingizii hata 100 wala Hamsini mbovuu......ila ukweli utabaki hata wewe unajua Kuwa hakukuwa na uhalali kwa baadhi ya Magori ni ubovu wa refarii.....Hilo unalijua ila umefunikwa na Ushabiki unavowapendelea timu fulani kisaikolojia unaharibu mbinu na uwezo wa Timu nyingine na hio sio mara ya kwanza kwa Barcelona!!!! Sometime weka ushabiki pembeni na Facts zitumike
 
Danya unanuna buuure tu.....

Hivi unagoli 4... una advantage ya goli la ugenini..... alafu dk ya 84.... unaruka ruka vp hadi watu wanapata goli tatu....

Achilia mbele kubebwa cjui kadi km unavyodai.... hauon ni usee psg wamefanya.....

Goli 5 ushndwe kuzilinda
 
Anika facts zako. Chambua kila goli na kosa lake
 
Zote ni halali na magoli ni halali. Ina maana Suarez na Neymar hawakuangushwa eneo la hatari? Kuwa mkweli

We ongelea Chadema tu, mpira waachie wajuzi. Suarez na Neymar walijiangusha eneo la hatari, ni tofauti na kuangushwa!
 
Kuwa na gori 4 sio tatizo lakini mwanzo mmeshawaharibu kisaikolojia na hiyo mmemtumia Refa kufanya hayooo tunajua hata marefa wana timu zao na hupanga matokeo nae anataka kuandika historia yake lakini sio sahihi kuonesha wazi wazi! Sidhani kama Suarezi kweli aliangushwaa hebu jaribu kuangalia Tena

Na ule mpira alio piga Di maria ukamgusa beki wenu ingekuwa upande wa PSG penalt ingewekwaa.....saikolojia ni kubwa kuliko hata nguvu za miguu....Ndio maana Nimesema UEFA inaendelea Tupo hapa mtakutana na Marefa wengine na Timu zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…