Nakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!
Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!
Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki
Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi