Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
- Thread starter
-
- #41
Kwenye soka ndiko niliko fit zaidiWe ongelea Chadema tu, mpira waachie wajuzi. Suarez na Neymar walijiangusha eneo la hatari, ni tofauti na kuangushwa!
Sasa we utani na ArsenalBarcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0
Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya Mabingwa Ulaya kwa kuwa timu ya kwanza kupindua matokeo ya tofauti ya mabao 4.
Premier League mko wapi muige upambanaji wa La Liga giants?
Sasa we utani na ArsenalBarcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0
Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya Mabingwa Ulaya kwa kuwa timu ya kwanza kupindua matokeo ya tofauti ya mabao 4.
Premier League mko wapi muige upambanaji wa La Liga giants?
Huwezi kukubali Facts kama Unajua mpira huhitaji ku discuss vitu hivyooo.....nitakuwa na poteza muda wangu kumuelewesha mtu anae aamini katendewa haki kumbe hamna! Imani yako imekuponya! Ila ukweli utabaki pale pale kesho taarifa zitaatoka tutaonaAnika facts zako. Chambua kila goli na kosa lake
Suarezi aliangushwa mkuu????Zote ni halali na magoli ni halali. Ina maana Suarez na Neymar hawakuangushwa eneo la hatari? Kuwa mkweli
HAKUNA PENALTY HATA MOJA YA HALALI KATI YA ZILE MBILI,TUSIONGEE KISHABIKI.
Hivi aaanachaje kuhathirika kisaikolojia mtu aliyepigwa goli 4... hana hata away goal... afu uhathirike wewe unayeongeza.Kuwa na gori 4 sio tatizo lakini mwanzo mmeshawaharibu kisaikolojia na hiyo mmemtumia Refa kufanya hayooo tunajua hata marefa wana timu zao na hupanga matokeo nae anataka kuandika historia yake lakini sio sahihi kuonesha wazi wazi! Sidhani kama Suarezi kweli aliangushwaa hebu jaribu kuangalia Tena
Na ule mpira alio piga Di maria ukamgusa beki wenu ingekuwa upande wa PSG penalt ingewekwaa.....saikolojia ni kubwa kuliko hata nguvu za miguu....Ndio maana Nimesema UEFA inaendelea Tupo hapa mtakutana na Marefa wengine na Timu zingine
Anika facts zako. Chambua kila goli na kosa lake
FafanuaWatu wakununua game hawa
Utawaweza co
Kwa zle penalty za uongo
Mkuu neymar tayar yuko mbele na mpira uko mbele yake...that aliyeanguka ameenda kusababisha foul kwa mtu ambae anaenda ku score...Sasa nngeomba utoe ufafanuz...hii penalty inakuaje c halalNeema kajigonga kwenye goti la beti Square kajisukuma sio penalty zile ila basi matokeo tayari hakuna mapinduzi
Hyo inayo iita n lig ngum kipind cha furgie mlilalamika anabebwa sana....so n kawaida ya wanadam kulalamikaNakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!
Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!
Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki
Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi
Tatizo la wabongo kila shabiki naye ni refariii!! Mnataka kuwafanya kama hao watu waliosomea na wakaguzi wao wote ni fafaaa?!! Mbona huwa hatuoni wakifungiwa mala kwa mala kama mnavyokuwa mnatuaminisha?? Hao psg ni wajinga huwezi ukacheza na timu kama barca kwa. Kutegemea kujihami vile lazima utaachia tu!!! Na humo humo lazima penalty zipatikane tu kila dk yuko kiunoni kwako unategemea nini??Zile penalty mbili zote hakuna penalty halali ila matokeo yalikuwa ni 4-1
Mpira ulicmama sana.... Wale jamaa wakienda kurusha, wanaenda kwa nyodo...mpira ukitoka kwa upande wa kipa wao jamaa anachukua almost 30 to 1min kuucheza...Lucas maulana kaumia kakaa karibu dk.2...so Wali delay sana...hata hizo dk 5 n ndogo..ingekua Epl wangeongeza hata dk.7.. Refer game ya arsenal na waltfod kama ckoseiSio lA kulalamikia.... kwanza izo 5mnts anakua anacheza barcelona peke ake....
Kutokujiamini.... hata psg zinamuhusu izo dk za nyongeza
Ww ndie ungetwambia n goal zp ambazo c halalSiwezi Kuonea Wivu timu ambayo hainiingizii hata 100 wala Hamsini mbovuu......ila ukweli utabaki hata wewe unajua Kuwa hakukuwa na uhalali kwa baadhi ya Magori ni ubovu wa refarii.....Hilo unalijua ila umefunikwa na Ushabiki unavowapendelea timu fulani kisaikolojia unaharibu mbinu na uwezo wa Timu nyingine na hio sio mara ya kwanza kwa Barcelona!!!! Sometime weka ushabiki pembeni na Facts zitumike
Neyma kaanguswa.... UctudanganyeWe ongelea Chadema tu, mpira waachie wajuzi. Suarez na Neymar walijiangusha eneo la hatari, ni tofauti na kuangushwa!
Mkuu psg na wao wameshika mpira Mara 3 ndan ya eneo la hatarKuwa na gori 4 sio tatizo lakini mwanzo mmeshawaharibu kisaikolojia na hiyo mmemtumia Refa kufanya hayooo tunajua hata marefa wana timu zao na hupanga matokeo nae anataka kuandika historia yake lakini sio sahihi kuonesha wazi wazi! Sidhani kama Suarezi kweli aliangushwaa hebu jaribu kuangalia Tena
Na ule mpira alio piga Di maria ukamgusa beki wenu ingekuwa upande wa PSG penalt ingewekwaa.....saikolojia ni kubwa kuliko hata nguvu za miguu....Ndio maana Nimesema UEFA inaendelea Tupo hapa mtakutana na Marefa wengine na Timu zingine
Povu huyo refa kwani ni walaliga? Maelezo mengi pumba tupu. Haya nyie wenye marefa na ligi ngumu jana mmenywesha kumiNakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!
Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!
Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki
Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi
Kachezea easy faulo...tunaziita n technical faulo...aligongwa kidogo sana kwenye upaja wake wa kuliaSuarezi aliangushwa mkuu????
hata uogopi au Tv yako ilikuwa inaonyesha tofauti