Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Habari wakuu
Nawasifu Barca kwa kupita kwa kishindo ambacho hakuna aliyetarajia.
Ila naona PSG hawajalitendea haki soka kabisa japo barca nao wameonyesha ubora.
Wanamichezo mnalizungumziaje hili?
 
Barcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0

Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya Mabingwa Ulaya kwa kuwa timu ya kwanza kupindua matokeo ya tofauti ya mabao 4.

Premier League mko wapi muige upambanaji wa La Liga giants?
Sasa we utani na Arsenal
 
Anika facts zako. Chambua kila goli na kosa lake
Huwezi kukubali Facts kama Unajua mpira huhitaji ku discuss vitu hivyooo.....nitakuwa na poteza muda wangu kumuelewesha mtu anae aamini katendewa haki kumbe hamna! Imani yako imekuponya! Ila ukweli utabaki pale pale kesho taarifa zitaatoka tutaona

Tutasikia refaa kaomba msamaha......UEFA bado ipoo
 
HAKUNA PENALTY HATA MOJA YA HALALI KATI YA ZILE MBILI,TUSIONGEE KISHABIKI.

Si kosa lako. Inawezekana ni ushabiki ndo unakusumbua. Nna wacwac kama sio shabiki wa Madrid bac ni Man U au Chelsea. Just enjoy the moment ukitaka kupima penati halali na zisizo halali haohao PSG first half tu kuna handballs kama mbili za ndani ya D walocommit. Sasa unataka tuanze kuangalia kosa mojamoja utaweza? Ndo mana hata baada ya match hii hutosikia mwamuzi kafungiwa. Kajaribu kubalance match kadri awezavyo. Hajafanya kosa la ajabu, match nzima barca imetawala. PSG waliofungwa hawalalamiki, wewe huku povu kibao. VISCA EL BARCA![emoji173][emoji173][emoji173]. Enjoy the moment, enjoy the history written today.
 
Kuwa na gori 4 sio tatizo lakini mwanzo mmeshawaharibu kisaikolojia na hiyo mmemtumia Refa kufanya hayooo tunajua hata marefa wana timu zao na hupanga matokeo nae anataka kuandika historia yake lakini sio sahihi kuonesha wazi wazi! Sidhani kama Suarezi kweli aliangushwaa hebu jaribu kuangalia Tena

Na ule mpira alio piga Di maria ukamgusa beki wenu ingekuwa upande wa PSG penalt ingewekwaa.....saikolojia ni kubwa kuliko hata nguvu za miguu....Ndio maana Nimesema UEFA inaendelea Tupo hapa mtakutana na Marefa wengine na Timu zingine
Hivi aaanachaje kuhathirika kisaikolojia mtu aliyepigwa goli 4... hana hata away goal... afu uhathirike wewe unayeongeza.

Mistake ya psg ni kudefence saana kuliko kushambulia... na hii walifanya kwa kulinganisha uwezo wao na barca..
It means bao 4 haikuwa uwezo wao...

Then walipopata lile bao mooja wakajiamini kwamba wamewaongexea mzigo barca ambao hawatauweza kuurudisha.... waksjisahau wakapigwa bao tatu ndan ya dk kumi

Ofcourse kwenye mpira makosa yapo . Referee sio nabii... ila ukisema eti kila akinawa mtu au kila kisa ndan ya box ufunike.... vuta picha now kungekuwa na penalty ngap .... ungekuwa mpira wa miguu au kikapu...

Referee husoma sheria za mchezo... maxingira ya mchezo na jinsi ya kuuchezesha mchezo... sio kila unachokiona wewe ni kosa ukadhan ni kosa hadi kwa mchezechaji.....

Tukubaliane tu... mapungufu ndio.. ila na uzembe upo mkubwa sana kwa PSG
 
Neema kajigonga kwenye goti la beti Square kajisukuma sio penalty zile ila basi matokeo tayari hakuna mapinduzi
Mkuu neymar tayar yuko mbele na mpira uko mbele yake...that aliyeanguka ameenda kusababisha foul kwa mtu ambae anaenda ku score...Sasa nngeomba utoe ufafanuz...hii penalty inakuaje c halal
 
Nakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!

Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!

Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki

Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi
Hyo inayo iita n lig ngum kipind cha furgie mlilalamika anabebwa sana....so n kawaida ya wanadam kulalamika
 
Zile penalty mbili zote hakuna penalty halali ila matokeo yalikuwa ni 4-1
Tatizo la wabongo kila shabiki naye ni refariii!! Mnataka kuwafanya kama hao watu waliosomea na wakaguzi wao wote ni fafaaa?!! Mbona huwa hatuoni wakifungiwa mala kwa mala kama mnavyokuwa mnatuaminisha?? Hao psg ni wajinga huwezi ukacheza na timu kama barca kwa. Kutegemea kujihami vile lazima utaachia tu!!! Na humo humo lazima penalty zipatikane tu kila dk yuko kiunoni kwako unategemea nini??
 
Sio lA kulalamikia.... kwanza izo 5mnts anakua anacheza barcelona peke ake....
Kutokujiamini.... hata psg zinamuhusu izo dk za nyongeza
Mpira ulicmama sana.... Wale jamaa wakienda kurusha, wanaenda kwa nyodo...mpira ukitoka kwa upande wa kipa wao jamaa anachukua almost 30 to 1min kuucheza...Lucas maulana kaumia kakaa karibu dk.2...so Wali delay sana...hata hizo dk 5 n ndogo..ingekua Epl wangeongeza hata dk.7.. Refer game ya arsenal na waltfod kama ckosei
 
Siwezi Kuonea Wivu timu ambayo hainiingizii hata 100 wala Hamsini mbovuu......ila ukweli utabaki hata wewe unajua Kuwa hakukuwa na uhalali kwa baadhi ya Magori ni ubovu wa refarii.....Hilo unalijua ila umefunikwa na Ushabiki unavowapendelea timu fulani kisaikolojia unaharibu mbinu na uwezo wa Timu nyingine na hio sio mara ya kwanza kwa Barcelona!!!! Sometime weka ushabiki pembeni na Facts zitumike
Ww ndie ungetwambia n goal zp ambazo c halal
 
Kuwa na gori 4 sio tatizo lakini mwanzo mmeshawaharibu kisaikolojia na hiyo mmemtumia Refa kufanya hayooo tunajua hata marefa wana timu zao na hupanga matokeo nae anataka kuandika historia yake lakini sio sahihi kuonesha wazi wazi! Sidhani kama Suarezi kweli aliangushwaa hebu jaribu kuangalia Tena

Na ule mpira alio piga Di maria ukamgusa beki wenu ingekuwa upande wa PSG penalt ingewekwaa.....saikolojia ni kubwa kuliko hata nguvu za miguu....Ndio maana Nimesema UEFA inaendelea Tupo hapa mtakutana na Marefa wengine na Timu zingine
Mkuu psg na wao wameshika mpira Mara 3 ndan ya eneo la hatar
 
Nakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!

Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!

Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki

Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi
Povu huyo refa kwani ni walaliga? Maelezo mengi pumba tupu. Haya nyie wenye marefa na ligi ngumu jana mmenywesha kumi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom