wana kana mzigo wao sio?Movie yenu ya vichwa vya treni vibovu imefikia wapi, naskia TRL wamevikana ilhali vina rangi zao.
Hiyo nchi yenu kama bongo movie vile, yaani vichwa vya treni hadi vinashushwa kutoka kwa meli na haijulikani mmliki nani. Ndio maana mnaliwa kwenye madini hadi mumebaki mahandaki matupu na umaskini mwingi. Mnaishi kwa kiki na vioja kila siku...mkae na kujiuliza aliyewaroga kama bado yupo.
Hii ni vituko, yaani locomotive zima linafika na hawajui nani mmiliki?
Hahaha nimeona clip ya magu akilalamikia huo ushenzzzHalafu sio moja, sio mbili, sio tatu...ni kumi na moja... freaking eleven ugly locomotives, zinashukia bandarini na zote zimepakwa rangi na majina ya shirika la reli (TRL) halafu eti hawajui za nani, hadi meli inageuka bila kujua nani kaziagiza. Bandarini TPA wanasema za TRL, nao hao TRL wamezikana, yaani Wabongo wanaishi maisha ya kiujanjanja na kutafuta kiki kwa kila kitu.
Na ndio maana unaona gesi zao zinatulipukia, wakiambiwa wazipitize Mombasa wananuna na kulialia. Mashirika yao yote ya kuhakikisha ubora kama vile TBS yamelala usingizi wa pono.
Halafu sio moja, sio mbili, sio tatu...ni kumi na moja... freaking eleven ugly locomotives, zinashukia bandarini na zote zimepakwa rangi na majina ya shirika la reli (TRL) halafu eti hawajui za nani, hadi meli inageuka bila kujua nani kaziagiza. Bandarini TPA wanasema za TRL, nao hao TRL wamezikana, yaani Wabongo wanaishi maisha ya kiujanjanja na kutafuta kiki kwa kila kitu.
Na ndio maana unaona gesi zao zinatulipukia, wakiambiwa wazipitize Mombasa wananuna na kulialia. Mashirika yao yote ya kuhakikisha ubora kama vile TBS yamelala usingizi wa pono.